Yalioshangaza Manesi Muhimbili leo Kuhusu Bosi wangu

kwani nini sioni shida naona mnachangia vinginevyo wengi wenu ni washirika wa hilo sasa kumbe anaelimu kuwa boss anafaa kumbe kabobea sasa hizo hirizi ni utamaduni tu mbona kwa waislamu lazime wawe na majini hamuoni ajabu huo ni utamaduni na desturi za watanganyika ndo maana mna abudia utamaduni wa kizungu yamepitwa na wakati upi na upi uliokuja na toka kwa nani kwa manufaa ya nani naomba kama mmeelimika eleweni basi msioneshe ukomavu wa kutoelimika ili hali mmesoma wengine wenu kwani akivaa hirizi wewe usie iamini unaona tabu gani kama husadiki na hilo mbona ni kawaida ungekuta ana biblia ndogo au msahafu ndani ungesema teme mbona watu wanalala na biblia kitanda ni badala ya kuwa na imani ya kusali tu kaama mnavyo elekezwa nawalimu wenu wa dini naomba jiulize kwa upande wa pili

Please, huwezi kusema wengi wetu kijumla jumla namna hiyo. Tafadhali jitahidi usiwakwaze watu. Binasfi naweza kuapa chini ya mbingu na nchi kwamba sijawahi kukanyaga kwa sangoma. Sasa umeanzia wapi kupata hiyo conclusion?
 
Arobaini yake ilikuwa imefika lakini nawaambieni kwenye organisation inayozidi wafanyakazi zaidi ya mia hivi vitu vya kishirikina vipo sana.

Mtegemee bwana Mungu wako kwa lolote lile, usimtegemee binadamu.

Heshima kwako Lily Flower,

Hapana mimi ninafanyakazi kwenye Organisation yenye watu kumi na mbili ushirikina upo sijawahi kuona haijalishi mko wangapi Mama /Baba.
 
kwani nini sioni shida naona mnachangia vinginevyo wengi wenu ni washirika wa hilo sasa kumbe anaelimu kuwa boss anafaa kumbe kabobea sasa hizo hirizi ni utamaduni tu mbona kwa waislamu lazime wawe na majini hamuoni ajabu huo ni utamaduni na desturi za watanganyika ndo maana mna abudia utamaduni wa kizungu yamepitwa na wakati upi na upi uliokuja na toka kwa nani kwa manufaa ya nani naomba kama mmeelimika eleweni basi msioneshe ukomavu wa kutoelimika ili hali mmesoma wengine wenu kwani akivaa hirizi wewe usie iamini unaona tabu gani kama husadiki na hilo mbona ni kawaida ungekuta ana biblia ndogo au msahafu ndani ungesema teme mbona watu wanalala na biblia kitanda ni badala ya kuwa na imani ya kusali tu kaama mnavyo elekezwa nawalimu wenu wa dini naomba jiulize kwa upande wa pili

Una uhakika na hilo ulilolisema kwenye RED BOLD,AU UMEAMUA KUDHIHILISHA UCHACHE WA FIKRA ZA BUSARA ULIZONAZO ILI UONGEZE IDADI YA POST?
 
Ofisi za serikalini hayo yapo sana. hasa kwa wale wazee wa zamani.

Kuna siku nilikalia kiti cha bosi pale Manispaa ya Dodoma, nilitukanwa matusi ya nguoni eti nataka kumtoa kwenye uongozi wake.
 
Una uhakika na hilo ulilolisema kwenye RED BOLD,AU UMEAMUA KUDHIHILISHA UCHACHE WA FIKRA ZA BUSARA ULIZONAZO ILI UONGEZE IDADI YA POST?
Huna Access ya Jukwaa la Dini-imani? Mwambe invisible access ujionee mwenyewe yaliyomo!
 
Mhhhh nadhani siomuhimbili au kuna stage umeruka katika kusimulia yaani wanamchoma sindan ya usingizi kabla ya......................

kama hiii story si ya kutunga na fiction basi watu wengi wanauwawa kwa taratibu za matibabu kutofuatwa. Japo si daktari kabla ya sindano ya usingizi kuna mambo ya kuzingatia.

Ni PM contacts zako nikukutanishe na bosi wetu huyo akusimulie mwenyewe yaliomsibu au kama una ndg muhimbili uliza pale emergence kuna kazee kaliwasumbua leo alfajiri na amelazwa kwa kisukari na Presha?
 
Nitapiga sala pia yatokee huko serikalini. Wanaiabudu Bagamoyo badala ya Mungu!!:Cry:
 
Wandugu habari zenyu bana,

Leo asubuhi tume report kazini kama kawaida, tukiwa tunaanza kazi tulisikia kishindo kwenye ngazi, tukakimbia kuangalia ni nini hicho kwa vile jengo letu ni lizee isikute linaporomoka.

Tulimkuta boss wetu chini kaanguka tukampakia kwenye gari kumkimbiza Muhimbili kwa vile alikuwa amezimia. Tukiwa njiani aliaamka na kuanza kung'ang'ania kiuno chake kwa nguvu tulijua basi atakuwa ameumia sana. Tulijitahidi kumwarakisha hopsitalini kumpunguzia maumivu tulivyofika reception katu alikataa kushuka kwenye gari wahudumu wakambeba juuu juu, bado akawa ananyonga kiuno. Basi manesi wakaanza kumfungua haraka kucheki kama kuna injury bado akakataa na kulia kwa sauti kubwa kwenye bible wangesema kuu.

Ikabidi wamchome sindano ya usingizi kwa kumlazimisha alivyolala wakamcheki wakamkuta ana hirizi mbili nyeusi kubwa upande wa kulia na kushoto. Tulimshangaa sana kwa sababu ni msomi mzuri ana masters ya finance na ACCA as an added advantage to this organization.

Kwa sasa amelazwa kwa uchunguzi zaidi ila wa awali unaonyesha mapigo ya moyo yako juu sana.
Nahisi ni mmoja ya wale wanaosubiri kukumbukwa na Kiranja Mkuu
 
Christ is full of mercy and grace. He is able to save the most wicked person at the time of His choosing. Let the people do whatever they think is right. God knows how to handle them. Remember what He told the adulterous woman?... I do not judge you...
 
Boss wako kapata wapi hizo hirizi,inawezekana kwa waganga wa jagwani,watu hawaishi kudanganywa mpaka waumbuke,vita ya majimaji ilisababisha vifo vingi kwa kudanganywa Risasi itageuka maji nao wakakubali,mwabie boss wako is just matter health specialities on his problems ,kisukari na pressure,hirizi hatapona.
 
Huna Access ya Jukwaa la Dini-imani? Mwambe invisible access ujionee mwenyewe yaliyomo!

Wewe na huyo Ngoreme munafanya uzushi na kuhakikishia umma kwamba kwa Waislamu hirizi na majini ni lazima.

Hao wazee wenu wanaoabudu mizimu ya kwenye miti na madudu ya misukule na huku wanajidai kusema Yesu Yesu ya mdomoni huwa wanaabudu vitu gani Kule?

Usigeneralize vitu kwa misingi ya dini nyinyi nyote Waafrika munafanya hivyo.
 
Hashakum si matusi niwie radhi kwa swali langu. Huyo bosi wako Mkuu Nguli Jabali ni wa deen gani?
 
.......toba yailahi, toba yailahi!!! Na elimu yote hiyo bado hajiamini mpaka aongeze "capacitors"? Nadhani umri wake ni miaka 55+
 
Back
Top Bottom