Yalioshangaza Manesi Muhimbili leo Kuhusu Bosi wangu

Bwana Nguli Polen sana
Labda halii hii tungemgeuza kikwete alipoanguka Jangwani akika asingetofautiana nae.hayo madudu ndio yanayowapeleka hapo walipo..labda kwa kifupi ukiwa kazini jitahdi kusimama na Mungu sana wengi wanaocheka na wewe wako na charms..hiyo cha mtoto boss wangu mmoja ofisi nilioacha kazi yeye alikuwa zake anaweka katikati ya sehemu za siri unaweza ona mateso gan ..huyu baada ya mwaka sijui kama ana bikira tena

ni msomi mzuri ana masters ya finance na ACCA as an added advantage to this organization.

ukimchunguza vizuri anaweza kuwa na PHD as added advantage
ya hayo madude..akipona muulizen vizuri rmbu nipe wd niko muhimbili hapa nikayalipue natangaza damu ay yesu wd nzima yakilipuka atakupa historia alipoyachukua...ntajie wd tu namba siitaji mi napita kutangaza moto wa YESU ndani joto lake atakuadithia

Nakutumia kwenye PM mpaka no. yake ya simu akipokea twanga maombi hukohuko mkuu

Dah, huku makazini kuna mambo no wonder vijana kama nguli hawapandi cheo (shemejiiiiiiiiiiiiii) kumbe watu wana hirizi zinazopumua lol.

Shemeji ndio maana hatuendelei unepotelea wapi lakini? jukwaa limepwaya sana baada ya wewe na BHT kupotea

Nina Yesu...I don't need hirizi or anything

Amen

To handle such witch craft trophies, you need first to undergo certain evil procedures. Among of those procedures include killing Albino, sleeping with your daughter or mother or sodomize infants. As you violate these conditions means selling your life openly to people who gave you the trophies. Angeuliza kwanza.

Ha ha ha ha mkuu naona umeamua kubatiza hirizi kuwa AWARD/TITLE

aiseee, yani mtu hajiamini ye mwenyewe mpaka nguvu za ziada.
ukute hata mkewe hajui,huwa anaivaa kwenda kazini tu.

Kweli huko ni kutokujiamini
 
natamani ningekuwepo nimuone reaction yake first day atakayorud ofisn bada ya kutoka hospital huku akijua kuwa habar zake zmevuja kwa subordinates wake wote
 
natamani ningekuwepo nimuone reaction yake first day atakayorud ofisn bada ya kutoka hospital huku akijua kuwa habar zake zmevuja kwa subordinates wake wote

Binadamu wana aibu basi? Unaweza kukuta anarudi ofisini ametinga mayenu hadi kifuani na kicheko hadi jino la 32 linaonekana! Ndo maana mtu akikuita mswahili anakuwa amekutukana tusi baya zaidi ya yale ya nguoni tunayoyajua!
 
Kumbe ndo mambo hayo,ngoja nikatafute hizo manake haya mambo ya kutopanda vyeo na madegree mawili kutakuwa kuna mkono wa mtu..........kumbe degree si issue??ila ni kweli bwana hata mimi ofisi nilikyokuwa nafanya kazi hapo nyuma bosi alikuwa akiwaleta wazee wetu wa bagamoyo kuja kuweka ulinzi na kumwambia nani adui yake pale ofisini.....its there!

Umeona eeh! Nitakusindikiza shostie!
 
Kikwete yalimzidi nguvu jangwani baada ya kutunguliwa kwa makombora ya nukilia yaliyomdondosha na kuzirai, hadi alipopewa walinzi wasionekana na Kiranja mkuu wa shetani nchini Tanzania.
 
natamani ningekuwepo nimuone reaction yake first day atakayorud ofisn bada ya kutoka hospital huku akijua kuwa habar zake zmevuja kwa subordinates wake wote

Binadamu wana aibu basi? Unaweza kukuta anarudi ofisini ametinga mayenu hadi kifuani na kicheko hadi jino la 32 linaonekana! Ndo maana mtu akikuita mswahili anakuwa amekutukana tusi baya zaidi ya yale ya nguoni tunayoyajua!

Wakuu hanaga aibu kabisa kabisa, ni mkali na mfupi sana na ana mustache mrefu, mbona ameanza kupigia watu simu kutoa direction za kazi? na walioenda mchana huu anashukuru team ilimwahisha hospital
 
Wanasema kazi na dawa ingawa wengi msemo huu huutumia vibaya kuhalalisha ushirikina wao,huyo ni mmoja kati ya wengi

ambao hufanya kazikwa nguvu za giza na tunao wengi tu na hata humu JF wapo.
 
Yaani mpaka sasa natafakari mtu mzima unapofunga safari kwenda kuchukua hirizi upate cheo au mafanikio fulani... ukifika nyumba za hao waganga ni za mbavu mbili, kwamba yeye hataki mafanikio? au kwamba ndugu zake wote ni mambo safi. Au ukutengenezee wewe yeye na familia au ndugu zake waendelea kusota kimaisha, tehe1 Natamani kumuona huyo bosi siku atakayorudi kazini... tehe
 
Wakuu hanaga aibu kabisa kabisa, ni mkali na mfupi sana na ana mustache mrefu, mbona ameanza kupigia watu simu kutoa direction za kazi? na walioenda mchana huu anashukuru team ilimwahisha hospital

Dawa yake next time mnamwacha anapambana nayo hadi mwisho ili bingwa ajulikane!
 
kwani nini sioni shida naona mnachangia vinginevyo wengi wenu ni washirika wa hilo sasa kumbe anaelimu kuwa boss anafaa kumbe kabobea sasa hizo hirizi ni utamaduni tu mbona kwa waislamu lazime wawe na majini hamuoni ajabu huo ni utamaduni na desturi za watanganyika ndo maana mna abudia utamaduni wa kizungu yamepitwa na wakati upi na upi uliokuja na toka kwa nani kwa manufaa ya nani naomba kama mmeelimika eleweni basi msioneshe ukomavu wa kutoelimika ili hali mmesoma wengine wenu kwani akivaa hirizi wewe usie iamini unaona tabu gani kama husadiki na hilo mbona ni kawaida ungekuta ana biblia ndogo au msahafu ndani ungesema teme mbona watu wanalala na biblia kitanda ni badala ya kuwa na imani ya kusali tu kaama mnavyo elekezwa nawalimu wenu wa dini naomba jiulize kwa upande wa pili
 
Wandugu habari zenyu bana,

Leo asubuhi tume report kazini kama kawaida, tukiwa tunaanza kazi tulisikia kishindo kwenye ngazi, tukakimbia kuangalia ni nini hicho kwa vile jengo letu ni lizee isikute linaporomoka.

Tulimkuta boss wetu chini kaanguka tukampakia kwenye gari kumkimbiza Muhimbili kwa vile alikuwa amezimia. Tukiwa njiani aliaamka na kuanza kung'ang'ania kiuno chake kwa nguvu tulijua basi atakuwa ameumia sana. Tulijitahidi kumwarakisha hopsitalini kumpunguzia maumivu tulivyofika reception katu alikataa kushuka kwenye gari wahudumu wakambeba juuu juu, bado akawa ananyonga kiuno. Basi manesi wakaanza kumfungua haraka kucheki kama kuna injury bado akakataa na kulia kwa sauti kubwa kwenye bible wangesema kuu.

Ikabidi wamchome sindano ya usingizi kwa kumlazimisha alivyolala wakamcheki wakamkuta ana hirizi mbili nyeusi kubwa upande wa kulia na kushoto. Tulimshangaa sana kwa sababu ni msomi mzuri ana masters ya finance na ACCA as an added advantage to this organization.

Kwa sasa amelazwa kwa uchunguzi zaidi ila wa awali unaonyesha mapigo ya moyo yako juu sana.

Mhhhh nadhani siomuhimbili au kuna stage umeruka katika kusimulia yaani wanamchoma sindan ya usingizi kabla ya......................

kama hiii story si ya kutunga na fiction basi watu wengi wanauwawa kwa taratibu za matibabu kutofuatwa. Japo si daktari kabla ya sindano ya usingizi kuna mambo ya kuzingatia.
 
Wandugu habari zenyu bana,

Leo asubuhi tume report kazini kama kawaida, tukiwa tunaanza kazi tulisikia kishindo kwenye ngazi, tukakimbia kuangalia ni nini hicho kwa vile jengo letu ni lizee isikute linaporomoka.

Tulimkuta boss wetu chini kaanguka tukampakia kwenye gari kumkimbiza Muhimbili kwa vile alikuwa amezimia. Tukiwa njiani aliaamka na kuanza kung'ang'ania kiuno chake kwa nguvu tulijua basi atakuwa ameumia sana. Tulijitahidi kumwarakisha hopsitalini kumpunguzia maumivu tulivyofika reception katu alikataa kushuka kwenye gari wahudumu wakambeba juuu juu, bado akawa ananyonga kiuno. Basi manesi wakaanza kumfungua haraka kucheki kama kuna injury bado akakataa na kulia kwa sauti kubwa kwenye bible wangesema kuu.

Ikabidi wamchome sindano ya usingizi kwa kumlazimisha alivyolala wakamcheki wakamkuta ana hirizi mbili nyeusi kubwa upande wa kulia na kushoto. Tulimshangaa sana kwa sababu ni msomi mzuri ana masters ya finance na ACCA as an added advantage to this organization.

Kwa sasa amelazwa kwa uchunguzi zaidi ila wa awali unaonyesha mapigo ya moyo yako juu sana.

usomi bila kumtegemea Mungu ni utumwa, na ndiyo maana mwisho wa siku unaenda kudanganywa na mganga wa kienyeji ambaye kama alisoma sana aliishia darasa la nne.
hapo kwenye red, wanachunguza nini wakati inawezekana jamaa amekiuka masharti ya hizo hirizi mbili?
 
Arobaini yake ilikuwa imefika lakini nawaambieni kwenye organisation inayozidi wafanyakazi zaidi ya mia hivi vitu vya kishirikina vipo sana.

Mtegemee bwana Mungu wako kwa lolote lile, usimtegemee binadamu.
 
Kumbe ndo mambo hayo,ngoja nikatafute hizo manake haya mambo ya kutopanda vyeo na madegree mawili kutakuwa kuna mkono wa mtu..........kumbe degree si issue??ila ni kweli bwana hata mimi ofisi nilikyokuwa nafanya kazi hapo nyuma bosi alikuwa akiwaleta wazee wetu wa bagamoyo kuja kuweka ulinzi na kumwambia nani adui yake pale ofisini.....its there!
uongo mtupu
 
binadamu wana aibu basi? Unaweza kukuta anarudi ofisini ametinga mayenu hadi kifuani na kicheko hadi jino la 32 linaonekana! Ndo maana mtu akikuita mswahili anakuwa amekutukana tusi baya zaidi ya yale ya nguoni tunayoyajua!
litakuwa ni funzo zuri sana kwake-hata akijifanya kuuchuna nakujifanya hajui kulitokea nini.naamin kama binadamu wa hata kaa asahau maishani mwake hili tukio,
 
Back
Top Bottom