Yaliomkuta asamoah yanga kumkuta davies mwape wa zambia??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,895
21,981
Wapendwa habarini za ukweli
naamini wote ni member wa ukweli na uwazi hasa kwenye mtandao huu wetu wenye furaha na kila aina ya madoido duniani..nimeona magazetini kuna habari za usajili mara hongera ynga kwa kumsajili mwape nk lakini ujue dunian ni ndefu magazeti mengine ya leo hii hii yameoandika viongozi yanga watupiana mpira kuhusu usajili wa mwape na mengine kufikia kusema Mwape kumkumba yaliompata asamoah..

si haa kama we ni mshabiki wa yanga usingependa kuona kijana mzuri aliekuwa akifunga magoli kama asamoah ati kushindwwa kucheza kisa ni upuuzi wa viongozi wa tinmu..naema hivi niikimtahabalisha DAVIS MWAPE NAJUA ZAMBIA NI karibu na zambezi air fair ni ndogo lakini naomba uwe makini sana na viongozi wa yanga usije lia kama mwenzako..popote unaemjua kijana huyu mrefu mweney umbo la mpira naomba mumjulishe hili kuondoa lawama oooh Mungu anipendi..oooh yyyyyyyyyy meeeeeeeeeeeeeee

Nwatakia duru jema YSC
 
Back
Top Bottom