Yale yale ya iddi simba:pesa za ubingwa wa yanga ziko kwenye account ya mtu binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yale yale ya iddi simba:pesa za ubingwa wa yanga ziko kwenye account ya mtu binafsi

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Aug 6, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Mi nasemaga kwa kweli ukipata sehem kama unaupenyo piga anza sishawishi wizi la hasa huu ndio mtindo wa leo
  ukishindwa anakusaidia mwenzio anaekuja
  klabu ya yanga imelalamika sana kuhusu swala la kutopokea hela zake za ubingwa mpaka sasa na kusema awajui
  nini kinachoendelea tff..akisimulia kwa uchungu msemajiwa simba anasema ukweli halisi amefwatilia mpaka sasa
  ajui mchezo gan unaendelea anashangaa kuona mh boniface akidai wamekaa chini na yanga na kuzungumza
  hilo sasa anashangaa kuona mpaka sasa akuna hela wala cheki inayokuja

  mmoja wa watu waliotuma msg kipindi cha michezo radio one anasema kwa kweli sendeu anakazi ukweli halisi
  hizo hela zimeingia kwenye account ya mmoja wa kigogo na sasa ameshaanza kula faida sasa anashangaa sendeu
  anahangaika kama mtoto ///

  kwa upande wa mtangazaji alisema sasa hizi pesa za wachezaji na club kwa nini zinapitia tff kwa niniwasiadikiwe timu moja kwa moja ama wachezaji waandikiwe moja kwa moja kuna kitu gan hapo kati kati jamani??kati ya tff na wafanyakazi wa accounts wa vodacom..ukiangalia vizuri wala sipati picha iweje anajulikana mshindi huyu pesa zinaingizwa account ya tff wakati timu ina account yake jamani??

  Anyway tenga mambo ya simba iddi yameanza uko ama??
   
Loading...