Yale yale na kama kawaida yetu

TANURU

Senior Member
Jan 13, 2010
162
6
Wakuu,

Matokeo ya mitihani kidato cha nne (2009) yametoka juzi na kama kawaida yetu aibu ya kufeli vibaya vijana wetu imeendelea kutuandama. Hebu fikirieni kati ya
Wanafunzi zaidi ya 339,000 waliofanya mtihani zaidi ya asilimia 87 wamepata division 4 na Division Zero. Aibu tupu.
 
TANURU

What did you expect na shule za kizazi cha Mkapa (yeboyebo?).
Literally mtu anakuwa amemaliza 4m 4, lakini upstairs bado kumepauka mbaya!

Something has to be done to facilitate Teachers and teaching Methodologies, Libraries, Labolatories, and General academics!

Bila hivyo, we are in store to witness the stink!
 
TANURU

What did you erxpect na shule za kizazi cha Mkapa (yeboyebo?).
Literally mtu anakuwa amemaliza 4m 4, lakini upstairs bado kumepauka mbaya!

Something has to be done to facilitate Teachers and teaching Methodologies, Libraries, Labolatories, and General academics!

Bila hivyo, we are in store to witness the stink!

PJ,

Uko sahihi. Inakera sana kwa kweli. na Mbaya zaidi ni hizo F za Hisabati.
Naona waheshimiwa watawala wetu hii hali haiwashtui hata kidogo.
 
Back
Top Bottom