YALE YALE: Kwanini upate mimba kama huna shida ya mtoto wakati kinga zipo????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YALE YALE: Kwanini upate mimba kama huna shida ya mtoto wakati kinga zipo?????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Lao, Feb 24, 2011.

 1. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  MWILI wa mtoto mchanga mwenye jinsi ya kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja, umekutwa ukiwa katika mfuko wa rambo kando ya Bahari ya Hindi karibu na Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam.

  Angalizo: :A S 13:Wadada/mama kweli mnashindwa kabisa kuzuia hizi mimba zisizo tarajiwa???
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Huwezi jua labda aliempa mimba kamtelekeza nyakati za mwisho, na isitoshe kina mama anapojifungua akili zao huruka kiasi hadi siku 7 ndio wanakuwa stable kwani hujawahi sikia mwingine kamlalia mwanae kafa au kumtupa chooni mara tu anapozaa? labda madaktari watuambie kuna siri ghani hapa tofauti na ugumu wa maisha.
   
 3. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwani huyo aliyekuwa anadumbukiza limhogo lake yeye naye kinga hazijui?
   
Loading...