Yale usiyoambiwa kuhusu wanaume ili kumjua anayekufaa

Musa Meizon

Member
Aug 3, 2021
13
53
Habari yako ndugu msomaji;

Ukweli ni kwamba wanaoteseka kwenye mahusiano ya kimapenzi hasa ni wanawake. Hivyo Leo naorodhesha sifa ambazo mwanamke anaweza kuzichunguza ili kujua anaingia kwenye mahusiano na mwanaume sahihi au laa kabla hajaishia kuchezewa na kutelekezwa. (Mwanaume pia akizijua itasaidia sana).

UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI: Mwanaume wa kweli lazima awe na sifa hii, sifa hii sio lazima kusubiri muingie kwenye mahusiano ndio uione bali hata kabla unaweza pima ukajua. Unapimaje? Ni hivi, pale tu mwanaume anapomtongoza mwanamke Kuna mambo 2 kichwani mwake; aidha anakutaka kimapenzi au anakutaka muwe na mahusiano ya kweli. Sasa mwanaume wa kweli ni yule anaeweza kuwa na maamuzi, haijalishi anakutaka kwa lengo lipi bali cha msingi ni je, anamaamuzi kamili? Jaribu kumpa kitu tofauti na anachotaka ili ujue hili! Kama kakutongoza mkatalie na umwambie unampenzi uone, akiendelea kubembeleza au kubaki zaidi ya Siku mbili jua hana maamuzi! Mwanaume halisi akiambiwa hivi atakuacha. Ni ngumu kuamini ila hii ni FACT, hakuna mwanaume alie na malengo na anaejiheshimu ataegombania mwanamke wa mwanaume mwingine. TRUST ME.

UWEZO WA KUUTAWALA MUDA WAKE: Mwanaume asieweza kuutawala muda kamwe hawezi kumtawala mwanamke. Kumbuka mwanamke ameumbwa awe chini ya mwanaume sasa kama hajiwezi eneo hili hakufai. Wanasema moja ya mambo muhimu kwa mwanamke kwenye mahusiano ni kupata muda wa kutosha wa kuwa na mwanaume wake, sasa kama hawezi kutawala muda wake? Watch out!

IDADI YA MARAFIKI: Ndio, hili linaweza onekana la ajabu ila ni muhimu mno. Mwanaume wa kweli huwa na marafiki kadhaa, anaweza akafahamiana na wengi sawa, ila marafiki ninao wataja ni wale wanao weza mpa ushauri, anao watambulisha kwako na wanakuwa nae mara nyingi akiwa mbali nawewe. Kama mwanaume wako anarafiki wengi kupita kiasi jua unawakati mgumu. Mwanaume wa kweli huwa na marafiki kadhaa ambao hufaana kwa dhiki na raha. Wanaweza kuwa wa tatu, saba au kumi ila kama wako 20 basi mwanaume wako uwe makini nae kwani siku watamshauri upuuzi kwasababu wako wengi ni rahisi kumlaghai, wanasemaga wengi wape ni kweli hasa kwa wanaume! Asili yetu tunaheshimu mawazo ya wanaume wenzetu sana. Mwanaume mwenye malengo hana muda wa kukaa na wanaume wenzie 20 wanapiga story, hicho ni kijiwe tayari. Kuna mwanaume aliefanikiwa anaekaa vijiweni? Labda nifanye utafiti upya.

JE, ANA ROLE MODEL/MENTOR: Unaweza mjua mwanaume ni wa aina gani kwa kutazama anamkubali mwanaume gani mwingine kama mfano kwake (role model and mentor). Kama role model wa mwanaume wako hajielewi, anabadili wanawake ovyo, hana mafanikio basi jua huna mwanaume hapo!!... Mwanaume wa kweli lazima awe na mtu anaemuangalia kama mfano na motisha kwake ili nae afanikiwe kwa kujifunza toka kwake. Kama mwanaume wako sio mwanamuziki ila role model wake ni Chris Brown basi umepotea!. Kama ni mfanya biashara na role model wake ni Mohammed Dewji, that's a REAL MAN.

MUNGU ANA NAFASI KWAKE: Mwisho kabisa, sio lazima awe mchungaji au awe Sheikh. Ila Mwanaume mzuri ni yule anaetambua Mungu ndio mwenye mafanikio yenu. Kama mwanaume wako hana hata chembe ya nafasi ya Mungu katika maisha yake basi kunahatari maisha yenu yakakosa uimara unaotakiwa, REMEMBER MUNGU ALIMUUMBA MWANAUME KABLA YA MWANAMKE, HIVYO RAFIKI WA KWANZA WA MWANAUME WA KWELI HANABUDI KUWA M/MUNGU. Ahsante.
 
Well spoken sir, thanks hope our sisters have time to read this, the only problem i have found is this, MO dewji cant be my role model tho i am an enterprenuer, no ccm member is clean, they have gotten their wealth in evil ways and means, my role model is jack donsey, twitter ceo
 
UMENENA VYEMA , NIMEKUBALI...
 
Nzuri
 
Back
Top Bottom