Yale Mazoezi ya ukakamavu kwa askari yameishia wapi?

Yale Ni Mambo Waliyokuwa Wanatumiwa Na Wanasiasa Japo Hawajajitambua Hao Hata Kesho Wakianza Kutumiwa Tu Utashangaa Mazoezi Yao
 
Sio lazima mazoezi yote uyaone ...kuna mengine ukiyaona utazimia ....wewe kula ugali ukalale kwa sasa
 
Bado yanaendelea mkuu. Hata leo hii mda si mrefu wamepita hapa barabarani na bendera nyekundu nimewaona
 
Mashinji balaa,kasababisha watu wafanye mazoezi ya ukakamavu,Bombardier zikapaa juu,Mbwa,farasi,mpaka kuku walifanyishwa mazoezi,Miti ilibidi kupandwa japo ilikuwa kiangazi kikali, ha ha ha ha. Only in Tanzania !

Nawaza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom