Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
Kuelekea Oktoba tulishuhudia mazoez ya ukakamavu kila kona ya nchi. Najiuliza tu kwanini kipindi hiki hatuyaoni tena?
Kila jambo lina muda wake. Very simpleKuelekea Oktoba tulishuhudia mazoez ya ukakamavu kila kona ya nchi. Najiuliza tu kwanini kipindi hiki hatuyaoni tena?
Kwan huyo Mashinji ndio kamanda wao?Wanasubiri Mashinji awapangie tarehe nyingine ya kuanza mazoezi.
DuuuuuuuNguvu ile ingetumika kupambana na ujangili tembo na faru wetu wangesalimika.
Ukisikia ukuta basi hapo hapo utawaona wanapashaKuelekea Oktoba tulishuhudia mazoez ya ukakamavu kila kona ya nchi. Najiuliza tu kwanini kipindi hiki hatuyaoni tena?