MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,975
- Thread starter
- #101
Mtazamo wako unaweza kuwa ni kweli!Tatizo alikuwa ni yule kaimu balozi ambae alikuwa busy na hao wanaojiita wanaharakati.
Unapochunguza tatizo ni nini na unapoligundua unatafuta tiba.
Yule mwanamke akaitwa Foreign na akaambiwa achague aendelee kuheshimu mkataba wa Vienna au la arudi kwao.
Naona anachagua kurudi kwao.
Tanzania kuna watu wanadhani ni ile ya miaka ya 47 lakini si Tanzania ya leo nayo ina CIA ya kitanzania na yaendeshwa kwa Tanzania style.
Ni mtazamo wangu tu.