Naomba kujua tofauti ya Hotel,Hostel,Motel,Guest House,Rest House,Inn,Resort,Lodge...

habar wana JF.

katka pitapita zangu nmeona bango za hz vtu
hotel
motel
Lodge
annex
...nlzan znafanana na guest kuna jamaa alkataa ila hakunipa majbu ya kueleweka...

huu uzi nmeuza kwenu naomba ufafanuz
 
....kuna Inn pia

Motel ni muunganiko wa Motor na Hotel, kwa hiyo twaweza kusema ni hotel kwa ajili wa wasafiri wa magari....

Ha ha.. Uko sawa kwamba ni muunganiko wa motor na hotel. Ulipokosea ni kusema za wasafiri.(unaeza ukawa sawa)
Difference ziko hapa.
1. Hotel ina lobby alafu ndo unaingia ndani wakati motel haina lobby
2. Hotel ni more expensive na motel ni way cheaper
3. Kwene hotel ina parking maalumu ila kwene motel unapark mbele ya mlango wako
4. Mwenye nyingine anaeza ongezea
 
Mkuu,
Nitakufafanulia na nitakutofautishia chache zinazoendana/zinazochanganywa kwa haraka haraka then utacheki nyingine,,

motel vs hotel

Motel ni aina ya facility inayoprovide huduma,mainly malazi plus some fpod n drinks ambayo ipo dedicated kwa ajili ya wasafiri wanaotumia vyombo binafsi vya usafiri(huwa wanaitwa "motorists",,na ndo asili ya neno mo kwnye "motel")kwa ajili ya mapumziko kidogo kabla ya kuendelea na safari zao

Hizi kwa wanaozijenga wakijua maana yake huwa wana zi locate alongside highways,,mostly kwenye njia za kuingilia na kutokea kwenye miji ili ku capture motorists

Hizi huwa zinakua/zinatakiwa kuwa na 1.garage kidogo kwa ajili ya minor repairs,,
2.fuel filling stations na
3.parking kubwa zaidi ukilinganisha na nyinginezo,,vyote vitatu kwa ajili ya kuserve hao wasafiri wenye vyombo binafsi vya moto

But

Hotel ni facility au biashara inayoaim kutoa accomodation services,good food and drinks,leisure services na refreshments mbalimbali,,inaweza kuwa na gym,swimming pools n more
 
Nimekielewa saaaanaa, asante
 
Restaurant vs cafeteria

Cafeteria mara nyingi ni mgahawa unaotoa service za chakula ambao unakua kwa ajili ya taasisi au unakuwa umelenga kundi la watu fulani
Mfano kwenye taasisi za elimu, kwenye jengo la wizara,,na sehemu nyingi nyingine,,n mostly jengo linakua owned by institution husika wanafanya ku lease kwa watu wa catering watengeneze chakula na kutoa huduma kwa watu,japo hata watu wengine(wasio na uhusiano na taasisi) huwa wanaweza kupata huduma

Restaurant ni aina ya mgahawa ambao unatoa huduma ya chakula to general public
 
-Hotel na motel ni kitu kimoja isipokuwa motel ina ziada ya kulaza na magari, kwa wale wanaosafiri na usafiri wao, anaenda kulala ktk hotel anakuta na parking ya magari ipo, ktk hotel hamna parking ya wale wanaosafiri na gari zao!
-Restaurant na cafeteria ni kitu kimoja isipokuwa kuna tofauti ktk utoaji wa huduma, restaurant kunakuwa na wahudumu wa kukuhudumia, wewe unaingia na kukaa anakuja mhudumu kuchukua order na anakuletea ulichoagiza ila kwa cafeteria, unaenda mwenyewe kuweka order na kuchukua ulichoagiza wewe mwenyewe bila kumtegemea mhudumu. Pia cafeteria ni kama vile unavyoona wanatoa huduma ktk masherehe ambapo watu wanaenda chukua chakula kwa kupakua wenyewe!
Jamaa wa hapo juu kaielezea cafeteria vizuri zaidi!
 
Mkuu,
Nitakufafanulia na nitakutofautishia chache zinazoendana/zinazochanganywa kwa haraka haraka then utacheki nyingine,,

motel vs hotel

Motel ni aina ya facility inayoprovide huduma,mainly malazi plus some fpod n drinks ambayo ipo dedicated kwa ajili ya wasafiri wanaotumia vyombo binafsi vya usafiri(huwa wanaitwa "motorists",,na ndo asili ya neno mo kwnye "motel")kwa ajili ya mapumziko kidogo kabla ya kuendelea na safari zao

Hizi kwa wanaozijenga wakijua maana yake huwa wana zi locate alongside highways,,mostly kwenye njia za kuingilia na kutokea kwenye miji ili ku capture motorists

Hizi huwa zinakua/zinatakiwa kuwa na 1.garage kidogo kwa ajili ya minor repairs,,
2.fuel filling stations na
3.parking kubwa zaidi ukilinganisha na nyinginezo,,vyote vitatu kwa ajili ya kuserve hao wasafiri wenye vyombo binafsi vya moto

But

Hotel ni facility au biashara inayoaim kutoa accomodation services,good food and drinks,leisure services na refreshments mbalimbali,,inaweza kuwa na gym,swimming pools n more
asante kwa ufafanuzi mkuu
 
Back
Top Bottom