Yako wapi majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2015?

Othmorine

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
691
1,000
Wadau,
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa baraza la mitihan Tanzania.Kwakweli kwa miaka miwili mfululizo sasa(2013&2014)wamejitahidi kutoa matokeo ya drs sa 7 mapema na kuyaweka kwenye mitandao.
Lakini mbona sioni mpaka muda huu hizo shule walizopangiwa hawa vijana wetu?
Mwenye taarifa tafadhal naomba atujuze.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom