Yako wapi mabilioni ya jk?

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Nimefikìria nikakosa jibu hivi mabilioni yajulikanayo kama mabilion ya jk,yanafanya nn? au ndi tumepigwa changa na macho
 
Mjomba yale mabilion yalikuwa kwa ajili ya Riz1 na washirika wake we kaa hapohapo uone kama utaziona.
 
unaulizia leeeeeeeeeoooo.......................ulikua wapy ndugu??????????

Nimeuliza leo maana hakuna tathmini yoyote wala maelezo yoyote kuhusu hzo pesa zetu zilizopewa jina la mtu mmoja tangu aliporudi magogoni kwa ungwe ya pili.Maisha yanazidi kuwa ndivyo sivyo ndo maana naulizia pesa zetu.
 
Back
Top Bottom