Yako wapi mabasi yaliyotumika kuwabeba 'watuhumiwa wa EPA'?

personation

Member
Sep 19, 2011
22
0
tumekuwa tukiona wakati wa mchakato wa sala zima la kesi za EPA, kulikuwa na mabasi yanayowaleta watuhumiwa, lakini sikuhizi hatuyaoni wadau tusaidiane kujua yalipo kwasababu huu ni unyanyapaaji kwa wafungwa wa hali y chini
 
Ukute magereza wameshayaua c unajua tena utunzaji wa vitu au washayabadilishia matumizi
 
yale yalikua ni kwaajili ya watuhumiwa waufisadi tu,wengine panda kalandinga...............AISEEEH
 
tumekuwa tukiona wakati wa mchakato wa sala zima la kesi za EPA, kulikuwa na mabasi yanayowaleta watuhumiwa, lakini sikuhizi hatuyaoni wadau tusaidiane kujua yalipo kwasababu huu ni unyanyapaaji kwa wafungwa wa hali y chini

Ni imani yangu mabasi haya bado yapo kwani mara ya mwisho niliyaona mwezi wa saba mwaka huu yakibeba wafungwa licha yakua sikufaham ni wafungwa wamakosa gani.
 
inawezekana hayapo kila mahali. ila kama ni yale mabasi-mkate ya kijani bado yapo na yanapeleka mahabusu mahakamani.
 
nafikili amfuta
us.jpg
 
tumekuwa tukiona wakati wa mchakato wa sala zima la kesi za EPA, kulikuwa na mabasi yanayowaleta watuhumiwa, lakini sikuhizi hatuyaoni wadau tusaidiane kujua yalipo kwasababu huu ni unyanyapaaji kwa wafungwa wa hali y chini
We tatizo lako ni Basi au kesi ya EPA?
 
Vyote kwanini wasikie kuna kuwapeleka vigogo maabu wayanunue afu kesi zilipoisha wayataifishe? Baada ya hapo tujue masuala ya kesi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom