Yakinifu

Unaridhika kuvunjwa haki za kijinsia kwa sababu za kisiasa!

  • Naridhika sana

    Votes: 1 50.0%
  • Naridhika kiasi

    Votes: 0 0.0%
  • Siridhiki kabisa

    Votes: 1 50.0%
  • Siridhiki kiasi

    Votes: 0 0.0%
  • Siridhiki sana

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

MULIKIO

Member
Sep 25, 2011
6
0
Nimekuja wandugu, Tuepushe Mihemuko. Tukitaka hoja zetu zidumu na kuacha mnyororo wa historia isiyo laumiwa tusimame katika ukweli. Tusiogope polisi katika kusema ukweli bali tumuogope MwenyeziMungu ambaye hutuona tukiwa hadharani na mafichoni!
 
Back
Top Bottom