yakheee vipiii wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yakheee vipiii wewe

Discussion in 'Jamii Photos' started by Good Guy, Aug 15, 2012.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  373865_4379650214648_2131226458_n.jpg
  nawasilisha
   
 2. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  mh ni hatari
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Anaitendea haki nafsi yake!
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  balaaa...
   
 5. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Uchokozi huo yakheeeee!!!!!!!
   
 6. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  You have made my day. Umeniacha hoi! I close the laptop and call it a day.
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Usiombe huyo wa pembeni awe ndio sheikh Ponda
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mimi naona anaidanganya nafsi yake, hakuna aliyemshika angefanya wazi wazi ile kitu anapenda.
   
 9. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  inferiority ndio tatizo lao, Mungu ni mmoja.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Fitna za Wakenya hizo.
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo aspojigeuza usain bolt kaisha wallah.
   
 12. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ata mponda ehee?
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Asipogeuka usain bolt imekula kwake
   
 14. k

  kapujege Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watamuua hao
   
 15. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #15
  Aug 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Dhidi ya nani sasa??
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Watanzania.
   
 17. C

  Chriss jawadu New Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingekua macjd maftah hapo wangemkoma xhekh koba.
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Kinaanza kichapo kikali, kisha inafuata kusomewa FATWA na mwishoni wanakumaliza kwa Al badir
   
 19. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Zilongwa mbali zitendwa mbali. Huyo uamsho hapo nyuma lazima alifanya kazi yake.
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  HAPO UMECHEMKA. MUNGU HAWEZI KUWA MMOJA HALAFU TUKAPINGANA KIASI HIKI. HADI KWA WANAOJIITA WAKRISTO WENYEWE MUNGU ALIYEATAJWA KWENYE KITABU NI MMOJA, LAKINI ANAYEABDIWA SIYO HUYO MMOJA, WAPO WENGI NDIO MAANA KILA KUNDI LIKO KIVYAKE. USIJIFARIJI. KUNA FARAKA KUBWA SANA.

  SOMA 1KOR.1:10-14 ...(Mgawanyiko Ndani Ya Kanisa
  10Nawasihi ndugu zangu, katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi, ili pasiwepo na matengano katikati yenu na kwamba mwe na umoja kikamilifu katika nia na katika kusudi. 11Kwa maana ndugu zangu, nimepata habari kutoka kwa baadhi ya watu wa nyumbani mwa Kloe kwamba kuna magomvi katikati yenu. 12Maana yangu ni kwamba: Kila mmoja wenu husema, "Mimi ni wa Paulo," mwingine, "Mimi ni wa Apolo," mwingine "Mimi ni wa Kefa" na mwingine "Mimi ni wa Kristo".
  13Je, Kristo amegawanyika? Je, Paulo ndiye aliyesulibishwa kwa ajili yenu? Je, mlibatizwa kwa jina la Paulo? 14Namshukuru Mungu kwamba sikumbatiza mtu ye yote miongoni mwenu isipokuwa Krispo na Gayo. 15Kwa hiyo hakuna mtu ye yote miongoni mwenu anayeweza kusema kwamba alibatizwa kwa jina langu. 16(Naam, niliwabatiza pia watu wa nyumbani mwa Stefana. Lakini zaidi ya hao sijui kama nilimbatiza mtu mwingine ye yote.)
   
Loading...