Yajue mashirika makubwa yanayoongoza kwa ujasusi duniani

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
Kazi kubwa ya mashirika ya kijasusi ni kukusanya, kuchambua na kuzifanyia kazi taarifa mbalimbali kwa ajili ya usalama wa taifa lolote na watu wake. mashirika yafuatayo yanaongoza kwa kuwa na wataalam wanaofanya matukio makubwa ya pekee na kutumia mbinu za kisasa, za hatari tena kwa teknolojia ya hali ya juu
1. CIA, FBI-Marekani
2. FSB(zamani KGB)-Urusi
3. Mossad-Israel
4. MI5/MI6-Uingereza
5. MSS-China
6. ISI-Pakistan
7. RAW-India
 
weka urusi moja achana na watu wanaopenda promo kila kitu ndo waonekane wamepiga kaz watu wanauawa hvyoo nchin mwao kunawatu wanapiga kazi kmya kmya huwezi jua na hawaliilii njaa wakikosa hela utasikia bank moja imechapwa hela ndefu kimtandao
mkuu, hata kama huwapendi, Wamarekani wanaongoza na Warusi wanafuata
 
13731620_1783454428605372_8774254374223826400_n.jpg
 
Kazi kubwa ya mashirika ya kijasusi ni kukusanya, kuchambua na kuzifanyia kazi taarifa mbalimbali kwa ajili ya usalama wa taifa lolote na watu wake. mashirika yafuatayo yanaongoza kwa kuwa na wataalam wanaofanya matukio makubwa ya pekee na kutumia mbinu za kisasa, za hatari tena kwa teknolojia ya hali ya juu
1. CIA, FBI-Marekani
2. FSB(zamani KGB)-Urusi
3. Mossad-Israel
4. MI5/MI6-Uingereza
5. MSS-China
6. ISI-Pakistan
7. RAW-India
ISI hamna kitu..pakistan is a corrupted country intelligence yao hamna kitu kk..inaweza hata kuzidiwa na TISS
 
Back
Top Bottom