STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,208
kwa comment hii Mkuu Bora ujipeleke mabwepande mwenyewe, kabla hata hawajakufata....TISS....ila waziri mkuu mstaafu na wanasiasa mashuhuri inchin amesema kaz kubwa ya TISS ni kupambana na vyama vya upinzani na kuakikisha chama tawala kinaongoza milele.....