Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Mkuu unataka uniambie unaweza mfuga njiwa akiwa mmoja peke yake


Halafu jirani yako ana njiwa wengin.

Unataka kusema njiwa mmoja huyo ataendelea kukaa kwako?

Mara tatu walinikimbia.
5,6,7 na 12 tu ndio ya kweli

Mengine yote uwongo mmemezeshwa. Nilishafuga. Hata sasa nikitulia nitafuga tena. Hizo ni ngonjera za vijiweni.
 
Mara tatu walinikimbia


Babu yangu aliniambia kwamba njiwa ni kama mwanamke kiruka njia (samahani kama nitaudhi watu), na kuku ni sawa na mkeo, katika shida na raha mkeo utakuwanaye tu kama kuku lakini kiruka njia ataruka kama njiwa wakati wa shida.

Sasa ili ukae na njiwa ni lazima uhakikishe msosi upo wa kutosha, hilo ni jambo la muhimu sana mengineyo ni decoration (mapanbo) tu.🤣🤣
 
Njiwa ni kama pambo tu madam wanafurahisha kuwatizama.
Pia hata kuchija siku nilikuwa nikiamua nawaambia waandae mafuta tu nachinja 10+ wanawakaanga ni watamu sana.
Zinakusaidia nn njiwa kufuga mkuu??.au mie siko sawa...!ndo nyie mnaofuga mende ati wana soko..mbona kuna mambo mengi ya kifanya jaman
 
Hivi kuna viumbe vina masharti mengi ya kuvitunza ili visiondoke kama wanaume wa bongo? Yaani wanaume wa bongo ni zaidi ya njiwa kwa kweli.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom