Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,353
Hahqhaa ..mie mwenyew nashangaa..njiwa anikoseshe raha kisa?navyopenda bang la muziki wknd inahu?
Hahqhaa ..mie mwenyew nashangaa..njiwa anikoseshe raha kisa?navyopenda bang la muziki wknd inahu?
5,6,7 na 12 tu ndio ya kweli
Mengine yote uwongo mmemezeshwa. Nilishafuga. Hata sasa nikitulia nitafuga tena. Hizo ni ngonjera za vijiweni.
Hadithi kama za watoto vile..lol! basi
Zinakusaidia nn njiwa kufuga mkuu??.au mie siko sawa...!ndo nyie mnaofuga mende ati wana soko..mbona kuna mambo mengi ya kifanya jaman
Njiwa mapambo buana weee......kitoweo swaaaafi
kama kunguru
Kweli nimeamini tumetofautiana..hahaa...ati mapambo
Mnaiba sana nyie njiwa za watusisi wajuzi tulikuwa na njiwa wetu, walee wakuiba njiwa wengine, njiwa mweupe
kitoweo je
nilishindwa khanga .hahaa na tule tuupaja uwiiii chefuuu
Wana mengi sana ya kifurahisha na kusisimuaKuna njiwa wanakujaga nyumbani, naonaga wanalishana kwa mdomo ukiwa na stress za mapenzi waweza kutamani kuwa njiwa
Mara tatu walinikimbia
kanga tena c bora njiwa tuu,yana makelele hatari.
Lakn njiwa watapemdezesha bustan ile jmn
Kumfuga mmoja ni ngumu utakuwa unamtesa tu.Mkuu unataka uniambie unaweza mfuga njiwa akiwa mmoja peke yake
Halafu jirani yako ana njiwa wengin.
Unataka kusema njiwa mmoja huyo ataendelea kukaa kwako?
Mara tatu walinikimbia.
Zinakusaidia nn njiwa kufuga mkuu??.au mie siko sawa...!ndo nyie mnaofuga mende ati wana soko..mbona kuna mambo mengi ya kifanya jaman
daaahhahaha..hapana..watanisema.mchawi buree
Atakimbia lazima so no moja pia ongeza kwenye orodha ya facts za kweliKumfuga mmoja ni ngumu utakuwa unamtesa tu.