Yajue mambo 10 yanayofanywa na wanaume lakini huwakera sana wanawake wengi

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
740
1. Kutokiri makosa
2. Kutoa hewa chafu hadharani
3. Kumuangalia mwananke mwingine
4. Kukoroma usingizini
5. Kukataa kufanya kazi zaid ya moja
6. Kutomfanyia vitu vya kumshangaza
7.Kutomsikiliza mwanamke
8. Kuangalia mpira/michezo
9. Kutofanya kazi za nyumbani
10. Kuhodhi rimoti ya TV

Source: BBC

Yawezakuwa anachukia moja au zaidi ya moja, lkn lilio muhimu zaidi kwa hawa viumbe akili ya ziada inahitajika katika kuishi nao.

Kwa upande wako wewe;
(Ke) Kipi unachukia?
(Me) Kipi unamchukiza nacho?
 
Huyo aliyeandika hayo mambo ni mwanamke? Kama ndio, amewauliza wanawake wangapi kuona kuona kama nao yanawakera?

Kama hapana, amejuaje kama wanawake wanakerwa na hayo mambo?

Ila hiyo ya kukataa kukiri makosa inachefua pande zote.

Kuchepuka haiwakeri kumbe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom