Yajue mambo 10 yanayofanywa na wanaume lakini huwakera sana wanawake wengi

Beyonce mwenyewe ana jamba, sembuse wao magube gube yalioshindikana kwa wazazi. Hawajaui kujamba ni afya, halafu wao ndio wanajamba mashuzi yenye harufu kali hamna mfano wake.

Umkute hawa wanaojiita Slay Queen kagonga kiporo cha wali maharagwe asubuhi, halafu mchana una appointment nae guest afikie na kushushia Safari mbili za moto fasta. Kaka Usiombe!!!

Akikujambia kwa hio harufu unaweza ukapata dalili zote za Corona na hata marafiki na ndugu wakakuweka Karantini kabisa (Mafua, Kifua, Koo Kukauka, Kichwa Kuuma, Homa Za Hapa Na Pale, Mwili Kupata Joto Yaani Temperature Ya Mwili Kusoma Zaidi Ya Nyuzi Joto 38°C).

Wasitupangie cha kufanya bana.
 
oyaa
 
1. Kutokiri makosa
2. Kutoa hewa chafu hadharani
3. Kumuangalia mwananke mwingine
4. Kukoroma usingizini
5. Kukataa kufanya kazi zaid ya moja
6. Kutomfanyia vitu vya kumshangaza
7.Kutomsikiliza mwanamke
8. Kuangalia mpira/michezo
9. Kutofanya kazi za nyumbani
10. Kuhodhi rimoti ya TV

Source: BBC

Yawezakuwa anachukia moja au zaidi ya moja, lkn lilio muhimu zaidi kwa hawa viumbe akili ya ziada inahitajika katika kuishi nao.

Kwa upande wako wewe;
(Ke) Kipi unachukia?
(Me) Kipi unamchukiza nacho?
Kwa hawa wa BUZA, vingunguti kama umegoma kumla tigo hapo umemkera zaidi
 
1. Kutokiri makosa
2. Kutoa hewa chafu hadharani
3. Kumuangalia mwananke mwingine
4. Kukoroma usingizini
5. Kukataa kufanya kazi zaid ya moja
6. Kutomfanyia vitu vya kumshangaza
7.Kutomsikiliza mwanamke
8. Kuangalia mpira/michezo
9. Kutofanya kazi za nyumbani
10. Kuhodhi rimoti ya TV

Source: BBC

Yawezakuwa anachukia moja au zaidi ya moja, lkn lilio muhimu zaidi kwa hawa viumbe akili ya ziada inahitajika katika kuishi nao.

Kwa upande wako wewe;
(Ke) Kipi unachukia?
(Me) Kipi unamchukiza nacho?
Alooooo kuweni serious kidogo! Tusiangalie hata Michezo!????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom