Yajue Mambo 10 Ya kitafiti, Kuhusu SAIKOLOJIA na Jinsi yanavyoathiri Maisha yako

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
goals.jpg

1:Kama Ukitanganza Malengo yako na Mipango kwa watu, Kuna uwezekano mkubwa yasitekelezeke, kwa sababu utapoteza motisha, Utafiti umeonyesha.

stock-footage-beautiful-woman-crying-desperate-for-loss-of-beloved-person-grief-gorgeous-depressed-woman-feeling.jpg

2:Wimbo unaoupenda kuliko wowote ule, Utafiti unaonyesha unaupenda kwa sababu unauunganisha na Tukio flani La kihisia maishani.
GC_Africa_Passengers-Watching-an-Elephant-from-4WD_APT_Geoffs_IMages_100_EDIT_LR.jpg

3:Kutumia Kipato chako na wengine Kinakupa furaha zaidi Kuliko ukitumia wewe binafsi. Na Pili Kiini cha furaha ya kudumu ni Kutumia Pesa zako katika UZOEFU kama utalii,kutembelea yatima au tukio la kijamii etc kuliko kwenye Kujilimbikizia mali au kununua vitu binafsi.

internet_addiction_by_timwehrle-d8d2or2.jpg

4:Watafiti wanabishana kwa hoja kama UTEJA WA MTANDAO/INTERNET ADDICTION kama nao uongezewe kwenye listi ya MATATIZO YA AKILI.

49cfbf354c64f5d41f89dee1f1e6046a.jpg

5:Kuna Kinasaba/GENE ambacho kinaweza kukufanya ukawa mtu mwenye mtazamo hasi/NEGATIVE katika karibu kila kitu.

600x410

6:Ubongo wako unachukulia Kuachwa/kukataliwa/kutengwa/REJECTION kama maumivu halisi au PHYSICAL PAIN maumivu kama ambavyo ungeyapata baada ya kujikwaa na kutoka kucha.

124230-122938.jpg

7:Asilimia 68 wa watu wenye simu za mikononi wanasumbuliwa na udhaifu uitwao PHANTOM VIBRATION SYNDROM. Yaani kuhisi simu yako inavibrate wakati iko sawa tu.

RTR2IRHY.jpg

8:Matendo ya kidini kama vile KUSALI, KUSHIRIKI IBADA, hupunguza KWA KIASI kikubwa Madhara ya Kisaikolojia kama vile Misongo ya Mawazo.

vllkytaHR0cDovL2Nkbi0wMS5uYWlqLmNvbS9vLzNXNVNzNGpscnVKRXRjMlh1UVJFN2c2WS5qcGc=.prx.r800x600.58ffb527.jpg

9:Tafiti zinaonyesha watu ambao ni COMEDIAN na wa kupenda KUSHKESHA WATU muda wote, huwa na misongo ya mawazo au Stress kuliko wastani.
cqHTjTv.jpg

10:Msongo wa mawazo uliopitiliza husababisha KUZEEKA MAPEMA. Unachochea seli kuzeeka kwa haraka kabla ya muda wake.

Karibuni.
 
hiyo namba 5 ni kiboko kuna watu wapo hvyo

namba kumi inawahusu viongozi wa kisiasa mf obama aliingia kijana miaka sita baada kazeeka pia Martin Luther KING alizeeka akiwa na umri mdogo tu
 
Hilo tatizo la no 7 niliwahi kuugua na nilijigundua siku nilipopoteza simu
Toka hapo niliamua kuachana na vibration kabisa
 
Hiyo 7 iliwahi nitokea,mpaka sasa hv simu zangu huwa silent.
Ni bora nikute missed call ya mtu kisha nimpigie kuliko vibration wala tone yoyote.
 
Back
Top Bottom