Yajue makundi ya damu, lipi unaweza lisaidia damu na linaloweza kukusaidia damu

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,123
1. Kundi A+
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi A na Kundi AB+
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi A+, A-, 0+ na 0-

2. Kundi 0+
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi 0+, A+, B+ na AB+
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi 0+ na Kundi 0-

3. Kundi B+
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi B+ na Kundi AB+
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi B+, B-, 0+ na 0-

4. Kundi AB
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi AB+
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi lolote linaweza kukusaidia damu.

5. Kundi A-
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi A+, A-, AB+ na AB-
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi A- na 0-

6. Kundi 0-
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Unaweza saidia damu kundi lolote.
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi 0-

7. Kundi B-
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi B+, B-, AB+, AB-
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi B- na 0-

8. Kundi AB-
Kundi unaloweza lisaidia damu:
- Kundi AB+ na AB-
Kundi linaloweza kusaidia damu:
- Kundi AB-, A-, B- na 0-

Jali afya yako!.
 
Wew rhesus negative hawezi kumpa rhesus positive damu, acha utani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom