Yajue makundi maarufu ya hackers duniani

namvumi king

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
734
1,000
Makundi maarufu duniani ya HACKING:

1. ANONYMOUS- hawa wamekua wakijihusisha zaidi na kupinga vitendo vyenye kugandamiza haki za kibinadamu zaidi na wameshafanya matukio mengi mfano moja wapo ni waliattack visa, paypal na mastercard kwa kukataa kulipa kwa wikileaks.
2. LIZARD SQUAD- hili ni kundi ambalo limedeal sana na websites kubwa zaidi na wamefanya matukio mbalimbali mfano wa matukio ni kama kuattack Sony na Microsoft na pia wakapost bendera ya ISIS kwenye server za Sony pia walizingua kwenye website ya Malaysia airlines...
ambapo watumiaji wa website hiyo walikua wanakuta ujumbe 404-plane not found na pia kufanya shambulizi la DDOS kwa facebook japo facebook walikataa ila network yao ilikua down kwa mda fulani.

3. THE LEVEL SEVEN CREW- hawa miaka ya nyuma walikua tishio kubwa kutokana na matukio waliyokua wakipiga, matukio yao makubwa walifanya kwa NASA, bank ya kwanza ya taifa ya america, ubalozi wa US kwenye website ya china, na Sheraton hotel.

4. CHAOS COMPUTER CLUB- unaweza waita CCC walianza mwaka 1981 uko germany na kwa sasa wametapakaa duniani.
walifanya kazi zao za kuhack kwa nia ya kufanya taarifa mbalimbali zipatikane bure kwa watu. walipata jina sana baada ya kuhack network ya bildschirmtext germany na kutoa kiasi ch fedha 134,000 deutsch(ni sawa na zaidi ya milion 300 za kitanzania) kutoka hamburg bank.
na kuzirudisha kesho yake hizo fedha kwa kua walitaka kuonesha madhaifu yaliyopo kwenye security.

5. LULZSEC- ikiwa ni kifupi cha lulz security na walikua na slogan inayosema "laughing at your security since 2011" dunia iliwatambua baada ya kuhack.
na kufuatiwa na sony pictures, pia wakaweza kutembea na website ya CIA ila mwaka 2012 member walikamatwa na FBI hii ni mwa mua kiongozi wao aliwauza.

6. GLOBALHELL- hili kundi lilianzishwa ni jamaa aliekua member wa street gang aliitwa Patric Gregory na wanafanya kazi kihuni.shughuli zao ni nyingi walihack websites zaidi ya 100 na kuvurga kila kitu kwenye site hizo na kufanya watu wapate hasara kubwa tu. walihack website ya US army na kuandika "Global hell will not die"

Asanteni
View attachment 1566750 View attachment 1566752 View attachment 1566751 View attachment 1566749 View attachment 1566748
IMG_20200911_204557.jpg

Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
3,650
2,000
4. CHAOS COMPUTER CLUB- unaweza waita CCC walianza mwaka 1981 uko germany na kwa sasa wametapakaa duniani.
walifanya kazi zao za kuhack kwa nia ya kufanya taarifa mbalimbali zipatikane bure kwa watu. walipata jina sana baada ya kuhack network ya bildschirmtext germany na kutoa kiasi ch fedha 134,000 deutsch(ni sawa na zaidi ya milion 300 za kitanzania) kutoka hamburg bank.
na kuzirudisha kesho yake hizo fedha kwa kua walitaka kuonesha madhaifu yaliyopo kwenye security.
Hawa jamaa walikuwa na akili timam kwel? Ama ni matajir sana
 
Inog01

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,267
2,000
Makundi maarufu duniani ya HACKING:

1. ANONYMOUS- hawa wamekua wakijihusisha zaidi na kupinga vitendo vyenye kugandamiza haki za kibinadamu zaidi na wameshafanya matukio mengi mfano moja wapo ni waliattack visa, paypal na mastercard kwa kukataa kulipa kwa wikileaks.
2. LIZARD SQUAD- hili ni kundi ambalo limedeal sana na websites kubwa zaidi na wamefanya matukio mbalimbali mfano wa matukio ni kama kuattack Sony na Microsoft na pia wakapost bendera ya ISIS kwenye server za Sony pia walizingua kwenye website ya Malaysia airlines...
ambapo watumiaji wa website hiyo walikua wanakuta ujumbe 404-plane not found na pia kufanya shambulizi la DDOS kwa facebook japo facebook walikataa ila network yao ilikua down kwa mda fulani.

3. THE LEVEL SEVEN CREW- hawa miaka ya nyuma walikua tishio kubwa kutokana na matukio waliyokua wakipiga, matukio yao makubwa walifanya kwa NASA, bank ya kwanza ya taifa ya america, ubalozi wa US kwenye website ya china, na Sheraton hotel.

4. CHAOS COMPUTER CLUB- unaweza waita CCC walianza mwaka 1981 uko germany na kwa sasa wametapakaa duniani.
walifanya kazi zao za kuhack kwa nia ya kufanya taarifa mbalimbali zipatikane bure kwa watu. walipata jina sana baada ya kuhack network ya bildschirmtext germany na kutoa kiasi ch fedha 134,000 deutsch(ni sawa na zaidi ya milion 300 za kitanzania) kutoka hamburg bank.
na kuzirudisha kesho yake hizo fedha kwa kua walitaka kuonesha madhaifu yaliyopo kwenye security.

5. LULZSEC- ikiwa ni kifupi cha lulz security na walikua na slogan inayosema "laughing at your security since 2011" dunia iliwatambua baada ya kuhack.
na kufuatiwa na sony pictures, pia wakaweza kutembea na website ya CIA ila mwaka 2012 member walikamatwa na FBI hii ni mwa mua kiongozi wao aliwauza.

6. GLOBALHELL- hili kundi lilianzishwa ni jamaa aliekua member wa street gang aliitwa Patric Gregory na wanafanya kazi kihuni.shughuli zao ni nyingi walihack websites zaidi ya 100 na kuvurga kila kitu kwenye site hizo na kufanya watu wapate hasara kubwa tu. walihack website ya US army na kuandika "Global hell will not die"

Asanteni
View attachment 1566750 View attachment 1566752 View attachment 1566751 View attachment 1566749 View attachment 1566748 View attachment 1566753

Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
Nimefurahi kuona Avatar yako ya MRI
 
Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
3,153
2,000
K

Mikono juu
 
Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
651
1,000
uku bongo land...ma IT kaz yao ni kusubil serkal iwaajil usekretari...na waliopo mtaan kaz yao kubwa kupiga window ten pc na kuburn cd..kiufupi hawanaa maajabu yaan hata ku hack wifi ya mangi hapo ni shughurii..ukiwaambia ukwel wanakuchukia et IT sio ku hack tu..sasa mlisomea ya nn?? si mngeungana na wenzenu SUA kusomea ufugaji wa mbuzi na kilimo cha matikit maji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom