Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,013
- 26,325
Asante kwa ufafanuzisijaamua kuwa mbishi. ila details zilizopo zinapingana na states zako.
mmoja anafanya espionage ndani ya mipaka mwingine nje ya mipaka? how?
first of all nadhani hufahamu majukumu ya NSA na roles zake. NSA sio espionage agency kama CIA.
wanafanya information gathering through communication, ikiwemo kuchuja mails, kuchuja txt kusikiliza mawasiliano ya simu .. waki detect anything suspicious wana handle over to responsible agency kufanyiwa kazi.
hawa jamaa wana monitor all communication in and out of america. hawa sio field operatives kama CIA.
and hawana mipaka. wana collect information in and out of america. including zile nchi wanazohisi ni threat to america.
FBI ndio wana role ya counter intelligence ndani ya nchi.
CIA is more of outside intelligence and counterintelligence.