Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,656
- 29,132
kkwa wenzetu polisi sio jeshi. ni law enforcement force.Labda kiswahili sijui vizuri.... polisi sio jeshi?
kkwa wenzetu polisi sio jeshi. ni law enforcement force.Labda kiswahili sijui vizuri.... polisi sio jeshi?
Eagle wing ni makazi tu ya vipepeo😂😁😀😅😄😃😂😁😀
Eagle Wing!!
nadhani ww unaongelea in descpline zaidi.Hapana. Huwezi kilinganisha SWAT na FFU jamani. SWAT ni wa kiwango cha juu sana. SPECIAL WEAPONS AND TACTICTS. Hawa kazi yao sio kupiga hovyo.
Bado hutaelewanadhani hujanisoma vizuri. hakuna mahali nimeandika CIA pacha ake ni FBI.
CIA pacha wake si NSA. NSA ni shirika linalokusanya taarifa za kiusalama kupitia kwenye mawasiliano,mitandao.
wana collect , process na ku analyze data kutoka sehemu mbali mbali. na wanafanya kwa ku monitor mawasiliano.
CIA ni more of espionage organization.
pacha wa CIA ni DIA ama defence intelligence agency.
kazi yao imefanana sana na CIA isipokuwa wao wana responsible to military zaidi.
kwa kuongezea pacha wa NSA ni GHCQ ya UK.
Federal bureau of investigationShirika lenyewe la kijasusi afu unasema hawajiusishi na ujasusi? (FBI)
How??
Kumradhi nimeteleza bossFederal bureau of investigation
"Investigation kwako Ni ujasusi
Sawa je espionage Ni Nini?
Mkuu NSA na CIA wote wanafanya ujsasusi lakini wako tofauti sana.Bado hutaelewa
Umeamua kuwa mbishi
Nakumbiaje
Wanachofanya NSA na CIA Ni kimoja sema tofauti yao ni mipaka ya kazi
Mmoja anafanga espionage nje ya mipaka ya nje
Mwingine ndani ya mipaka ya nchi Ila wote wakafanya espionage and the like
Baki na ubishi wako
Kwaheri
Special Weapons And TacticsYhaaaa kitaaalm inaitwaaa SPECIAL WEAPONS ASSAULT TEAM
FBI wana kazi pia ya intelligence... especially Counter IntelligenceHapo kwenye CIA na FBI umeingia Chaka .
CIA Pacha wake Ni NSA sio FBI
FBI wanahusika ma upelelezi wa makosa ya Jinai na mengineyo.ila sio ujasusi
sijaamua kuwa mbishi. ila details zilizopo zinapingana na states zako.Bado hutaelewa
Umeamua kuwa mbishi
Nakumbiaje
Wanachofanya NSA na CIA Ni kimoja sema tofauti yao ni mipaka ya kazi
Mmoja anafanga espionage nje ya mipaka ya nje
Mwingine ndani ya mipaka ya nchi Ila wote wakafanya espionage and the like
Baki na ubishi wako
Kwaheri
FFU ni kikosi cha kisiasa cha ccm!Hapana. Huwezi kilinganisha SWAT na FFU jamani. SWAT ni wa kiwango cha juu sana. SPECIAL WEAPONS AND TACTICTS. Hawa kazi yao sio kupiga hovyo.
TISS-Tanzania Intelligence Security Services wapo KijitonyamaYafuatayo ni makao makuu ya baadhi ya mashirika makubwa ya kijasusi duniani. Nchi hizi zina sera za uwazi juu ya hizi Mambo kwa hapa kwetu nadhani Mambo haya ni Siri ndio maana nimeepuka makusudi kuyataja ili pia yasikonflict na sheria za jamiiforums.
1. CIA HQ ipo Langley Virginia na jengo lake limepewa jina la George Bush center for intelligence.
2. FSB HQ la urusi lipo mtaa wa lubyanka na jengo linaitwa lubyanka Moscow.
3. MI6 HQ la uingereza lipo vauxhall cross bridge pembeni ya mto thames.
4. Mossad HQ ipo Jerusalem karibu na mtaa ambapo pia ndio makao makuu ya makazi ya waziri mkuu was Israel. Mtaa wa Beit Aghion.
5. BND kirefu chake ni Bundesnachrichtendienst lipo Berlin. Pia ndio shirika la ujasusi lenye majengo mengi kuliko yote duniani.
Waweza ongezea uyajuayo.
Itakusaidia nini?Yafuatayo ni makao makuu ya baadhi ya mashirika makubwa ya kijasusi duniani. Nchi hizi zina sera za uwazi juu ya hizi Mambo kwa hapa kwetu nadhani Mambo haya ni Siri ndio maana nimeepuka makusudi kuyataja ili pia yasikonflict na sheria za jamiiforums.
1. CIA HQ ipo Langley Virginia na jengo lake limepewa jina la George Bush center for intelligence.
2. FSB HQ la urusi lipo mtaa wa lubyanka na jengo linaitwa lubyanka Moscow.
3. MI6 HQ la uingereza lipo vauxhall cross bridge pembeni ya mto thames.
4. Mossad HQ ipo Jerusalem karibu na mtaa ambapo pia ndio makao makuu ya makazi ya waziri mkuu was Israel. Mtaa wa Beit Aghion.
5. BND kirefu chake ni Bundesnachrichtendienst lipo Berlin. Pia ndio shirika la ujasusi lenye majengo mengi kuliko yote duniani.
Waweza ongezea uyajuayo.
ChattleLile shirika la kijasusi la Tanzania ambalo kazi yake kubwa ni kuiba kura na kuitumikia CCM makao makuu yake yako wapi mkuu?
CIA ni Central Intelligence Agency, inafanya kzi ndani ya marekani na Ulimwengu mzima.Napenda kujua tofaut Kati Ya CIA, FBI na SWAT
Mi sijabishaMkuu NSA na CIA wote wanafanya ujsasusi lakini wako tofauti sana.
NSA wao ni Signal Intelligence tu na wako chini Pentagon.
CIA focus yao kubwa ni Human Intelligence na wanajitegemea.
Ingawa wote hawaruhusiwi kufanya espionage ndani ya US.
Plus... mkuu wa NSA siku zote ni mwanajeshi, wakati CIA anaweza kuwa a non military person.
Ungekua na organise ka trip uwatembelea tukanywe chai, ningefaidika zaidi.Kwani unaumia mkuu ?