Yajue majina yanayoongoza kudumu na kutokudumu katika ama Mahusiano au Ndoa

Umekosa kazi ya kufanya.
Utafiti wa kijinga sijawahi kuona na laiti ungejua maana ya utafiti usingeleta utafiti kama huo.
Utafiti lazima uelezee sababu na mazingira gani na ni kwa nini majina hayo yanaathiri mahusiano au ndoa kudumu au kutokudumu kwa muda mrefu, kwa hivyo mzee nenda kajipange upya utuletee utafiti wa kitaalamu.
 
Wenye majina ya kichaga naona tume sahaulika...massawe..chuwa..mushi..lymo...mangi..tarimo...lyatuu..mrope..marandu..
 
Kiroho kuna uhusiano wa jina na matukio ya mtu.
Lakini naona wewe uliowataja ni watu unaowajua. Pia utafiti wako hauna range yaani watu wa mjini na kijijini, mila za makabila, elimu ya mtu, imani na mengineyo ni determinant za watu kudumu ktk ndoa ama kutokydumu.
Tambua kuwa uchumi pia huchangia watu kudumu ama kutokudumu.
Haya ni maoni yako nayaheshimu ila futa neno utafiti huu hauwezi kuwa utafiti kitaalamu.
Ungekuwa utafiti hata majina yangekuwa hadi mia nne hivi au zaidi.
Ni vema ukarudi kujipanga upya kitaalamu siyo kuleta sampuli za majina tu hapa.
Binafsi napingana nawe kwani wapo akina Emmanuel wamedumu na wake zao na wengine wameachana nao .
Sasa hapa unadhani hoja ni jina au ni nini?.
Baadhi ya makabila mwanamke akiolewa haruhusiwi kurudi kwao hata anyanyasike vipi haijalishi ni Lucy ama chausiku.
Mambo ni mengi ila nakuomba urudie upya umepotosha umma kwa sehemu japo ni haki yako kuandika chochote.
 
Umekosa kazi ya kufanya.
Utafiti wa kijinga sijawahi kuona na laiti ungejua maana ya utafiti usingeleta utafiti kama huo.
Utafiti lazima uelezee sababu na mazingira gani na ni kwa nini majina hayo yanaathiri mahusiano au ndoa kudumu au kutokudumu kwa muda mrefu, kwa hivyo mzee nenda kajipange upya utuletee utafiti wa kitaalamu.

Stupid.
 
Back
Top Bottom