Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

nyongeza kuhusu majina ya ukoo kwa wangoni:

mpangala
mahundi
haule
chale
ndomba
ndimbo
nduguru
ndonde
ngatunga
hinju
ndumbaro
nguruwe
hyera
mbawala
nyoha
katembo
mbunda
kapinga
 
Kwa wapare sifuni, mbazi, mkazeni ni majina sio ukoo, ambazo ujaziweka ni zifuatazo
  • Mzirai
  • Mrutu
  • Mfinanga
  • Mzava
  • Mmbaga
  • Mwanga
  • Mkamba
  • Mtaita
  • Mchomvu
  • Mruma
  • Msoffe
Hivi ni Mzava au Mnzava? Pia kuna yale yanayoingiliana na Wachaga...kama Minja, Msechu, Kimambo n.k.
 
Malima, kabula, jijanda,
Maduhu,
Zengo,
Nkinda,
Mayenga,
Saguda,
Mhangwa,
Luhaga,
Mashimba,
Shoma,
Liku,
Makunga,
Masele,
Masunga,
Masala,
Masaga,
Masule,
Luhende,
Mwita ( hata wasukuma wapo siyo wakurya tu).
Yalugala,
Matinde,
Yela,
Dayi,
Ndaturu,

N.k...........
 
Wakuu alaf kuna mfanano wa majina ya koo za wahehe (especially wa ruaha) na wandengereko
-kisoma
-mlawa
-malenda
-mlanzi
Hivi hakuna any story behind maana hawa wote wanaunganishwa na mto rufiji/ruaha
Hakuna movement ilifanyika hapa au ndiyo mpaka wazungu waje watupime DNA?
 
Wana JF;

Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common?

Majina ni kama ufuatavyo:

Update No. 2


1. Wachagga
  • Massawe
  • Mushi
  • Mosha
  • Temu
  • Mtei
  • Kimaro
  • Kimario
  • Mosha
  • Marealle
  • Lyimo
  • Chuwa
  • Mallya
  • Kisaka
  • Komu
  • Mchau
  • Silayo
  • Makundi
  • Mboro
  • Sangawe
  • Tafadhali endelea . . .
2. Wahaya:
  • Rugaimukamu
  • Rutakyamirwa
  • Rutabanzibwa
  • Tafadhali Endelea
3. Wanyakyusa
  • Tuntufye
  • Mwakyusa
  • Mwakalebela
  • Ntitu
  • Mwakosya
  • Andongolile
  • Bhongwenda
  • Mmasyanju
  • Anyasime
  • Akasopo
  • Mwamfupe
  • Mwafwetelele
  • Mwangafi
  • Tujhobepo
  • Mwasongwe
  • Mwakatimbo
  • Mwamfupe
  • Mwaiapaja
  • Mwaisaka
  • Mwakamela
  • Mwanjelwa
  • Mwakilasa
  • Mwasakafyuka
  • Mwakyusa
  • Mwakatumbula
  • Mwasubila
  • Mwankenja
  • Mwakatundu
  • Mwakalinga
  • Mwakyembe
  • Mwakyambiki
  • Mwaipasi
  • Mwakapugi
  • Mwaisemba
  • Mwandemani
  • Mwakoba
  • Mwakajinga
  • Mwanguku
  • Mwalwisi
  • Mwalupindi
  • Mwamugobole
  • Mwankemwa
  • Tafadhali endeleza
4. Wangoni
  • soko
  • moyo
  • nguruwe
  • mbuzi
  • fusi
  • nyoni
  • Ndunguru
  • tembo
  • njovu
  • Komba
  • Mapunda
  • Gama
  • Mpambalioto
  • Songea
  • Mbano
  • Mtazama
  • Maseko
  • Zwangedaba
  • Mpezeni
  • Endeleza tafadhali . . .
5. Wajaluo
  • Otieno
  • Onditi
  • Omolo
  • Owino
  • Omondi
  • Ojwang'
  • Osodo
  • Odhiambo
  • Okinyi
  • Odipo
  • Ochuodho
  • Ondiek
  • Onyango
  • Otieno
  • Oludo
  • Okeyo
  • Oluoch
  • nk
6. Wakurya
  • Chacha
  • Mwita
  • Marwa
  • Matiku
  • Wambura
  • Nyarukamu
  • nk
7. Wasambaa
  • Semhando
  • Shelukindo
  • nk

8. Wasukuma...
  • Mabula
  • Masanja
  • Magembe
  • Masunga
  • Singiri
8. Wafipa
  • nkoswe
  • mpambwe
  • khamsini
  • mwanakatwe
  • nswima
  • mzindakaya
  • simbakavu
  • kagosha
  • mwananzila
  • mwanachifunda
  • sichone

  • Endeleza tafadhali
9. Wanyasa
  • komba
  • ndomba
  • nchimbi
  • ndunguru
  • kumburu
  • nkondola
  • kanjolonga
9. Wamatengo
  • Komba

10. Wakinga
  • Chande
  • Sanga
  • Msigwa
  • Fungo

11. Wapare
  • Mbwambo
  • Mkwizu
  • Msuya
  • Mshana
  • Msangi
  • Twazihirwa
  • Nimzihirwa
  • Tumsifu
  • Ombeni
  • Mkazeni
  • Mbazi
  • Sifuni

12. Wabondei
  • Fungo

13. Wahehe
  • Mkwawa
  • Kihwele
  • Mng'ong'o

14. Wajita
  • Masatu
  • Manyama
  • Mafuru
  • Mafwere
  • Mafwimbo
  • Magafu
  • Majigo
  • Majubu

15. Wamakonde
  • Bachikeli
  • Chumuni
  • Chilingi
  • Mutoka
  • Nyumba
  • Chimu

16. Waha


  • Twagiraneza
  • Zunguye
  • Ntuyabaliwe
  • Twakaniki
  • Hungu

17. Wagogo
  • Chipanha
  • Chigwiyemisi
  • Chihonyhi
  • Chiligati
  • Chibehe
  • Chibulunje
  • Chikoti
  • Malecela
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo au Makabila kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126.
Hayo majina ya kikurya unayodai ni ya ukoo siyo kweli.
Mfano Chacha ni mojawapo ya majina anayopewa mtoto wa kwanza wa kiume kwa kabila zima
Koo zote zinatumia majina yale yale
 
Hizi ni baadhi ya koo na majina ya Wairaqw:
Boa
Matiya
Diyamay
Lolo
Bayo
Tsaxara
Panga
Gaare
Hhayuma
Sulle
Malle
Tlohhay
Tsuut
Hhari
Gurti
Gwalo
Gwawu
Balohho
n.k

Hizo ni baadhi tu ya koo za Wairaqw walipo kaskazini mwa Tanzania katika mikoa ya Arusha na Manyara.
 
Majina 25 maarufu ya Wapare ya KIUME:

1. Kirimbo
2. Mrisha
3. Kilango,
4. Kitururu,
5. Mkodo,
6. Mshigheni,
7. Mfinanga,
8. Marimbocho,
9. Kimashi,
10. Mkundi
11. Kibacha
12. Sengasu
13. Mshitu
14. Sekiete
15. Kajiru
16. Kajivo,
17. Masanzua
18. Kiondo- Jina hili lipo kwa Wasambaa pia
19. Msechu - Jina hili lipo kwa wachaga pia
20. Minja - Jina hili lipo kwa Wachaga pia.
21. Msifuni
22. Mavanja
23. Kinenekejo
24. Kihiyo
25. kahungo
26. Kapwete
27. Kakoshi
28. Teendwa
29. Katumbi
30. Mshighati
 
... Wanyakyusa

Mwakatobe
..... endelea
Wana JF;

Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common?

Majina ni kama ufuatavyo:

Update No. 2


1. Wachagga
  • Massawe
  • Mushi
  • Mosha
  • Temu
  • Mtei
  • Kimaro
  • Kimario
  • Mosha
  • Marealle
  • Lyimo
  • Chuwa
  • Mallya
  • Kisaka
  • Komu
  • Mchau
  • Silayo
  • Makundi
  • Mboro
  • Sangawe
  • Tafadhali endelea . . .
2. Wahaya:
  • Rugaimukamu
  • Rutakyamirwa
  • Rutabanzibwa
  • Tafadhali Endelea
3. Wanyakyusa
  • Tuntufye
  • Mwakyusa
  • Mwakalebela
  • Ntitu
  • Mwakosya
  • Andongolile
  • Bhongwenda
  • Mmasyanju
  • Anyasime
  • Akasopo
  • Mwamfupe
  • Mwafwetelele
  • Mwangafi
  • Tujhobepo
  • Mwasongwe
  • Mwakatimbo
  • Mwamfupe
  • Mwaiapaja
  • Mwaisaka
  • Mwakamela
  • Mwanjelwa
  • Mwakilasa
  • Mwasakafyuka
  • Mwakyusa
  • Mwakatumbula
  • Mwasubila
  • Mwankenja
  • Mwakatundu
  • Mwakalinga
  • Mwakyembe
  • Mwakyambiki
  • Mwaipasi
  • Mwakapugi
  • Mwaisemba
  • Mwandemani
  • Mwakoba
  • Mwakajinga
  • Mwanguku
  • Mwalwisi
  • Mwalupindi
  • Mwamugobole
  • Mwankemwa
  • Tafadhali endeleza
4. Wangoni
  • soko
  • moyo
  • nguruwe
  • mbuzi
  • fusi
  • nyoni
  • Ndunguru
  • tembo
  • njovu
  • Komba
  • Mapunda
  • Gama
  • Mpambalioto
  • Songea
  • Mbano
  • Mtazama
  • Maseko
  • Zwangedaba
  • Mpezeni
  • Endeleza tafadhali . . .
5. Wajaluo
  • Otieno
  • Onditi
  • Omolo
  • Owino
  • Omondi
  • Ojwang'
  • Osodo
  • Odhiambo
  • Okinyi
  • Odipo
  • Ochuodho
  • Ondiek
  • Onyango
  • Otieno
  • Oludo
  • Okeyo
  • Oluoch
  • nk
6. Wakurya
  • Chacha
  • Mwita
  • Marwa
  • Matiku
  • Wambura
  • Nyarukamu
  • nk
7. Wasambaa
  • Semhando
  • Shelukindo
  • nk

8. Wasukuma...
  • Mabula
  • Masanja
  • Magembe
  • Masunga
  • Singiri
8. Wafipa
  • nkoswe
  • mpambwe
  • khamsini
  • mwanakatwe
  • nswima
  • mzindakaya
  • simbakavu
  • kagosha
  • mwananzila
  • mwanachifunda
  • sichone

  • Endeleza tafadhali
9. Wanyasa
  • komba
  • ndomba
  • nchimbi
  • ndunguru
  • kumburu
  • nkondola
  • kanjolonga
9. Wamatengo
  • Komba

10. Wakinga
  • Chande
  • Sanga
  • Msigwa
  • Fungo

11. Wapare
  • Mbwambo
  • Mkwizu
  • Msuya
  • Mshana
  • Msangi
  • Twazihirwa
  • Nimzihirwa
  • Tumsifu
  • Ombeni
  • Mkazeni
  • Mbazi
  • Sifuni

12. Wabondei
  • Fungo

13. Wahehe
  • Mkwawa
  • Kihwele
  • Mng'ong'o

14. Wajita
  • Masatu
  • Manyama
  • Mafuru
  • Mafwere
  • Mafwimbo
  • Magafu
  • Majigo
  • Majubu

15. Wamakonde
  • Bachikeli
  • Chumuni
  • Chilingi
  • Mutoka
  • Nyumba
  • Chimu

16. Waha


  • Twagiraneza
  • Zunguye
  • Ntuyabaliwe
  • Twakaniki
  • Hungu

17. Wagogo
  • Chipanha
  • Chigwiyemisi
  • Chihonyhi
  • Chiligati
  • Chibehe
  • Chibulunje
  • Chikoti
  • Malecela
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo au Makabila kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126.
 
mkoa wa ruvuma makabila yake ni wangoni wa hyao, wa ndendeule, wanyasa au wanyanja na wa manda. hayo majina ya wangoni hakuna chumvi hapo mkuu
Umewasahau Wamatengo wako Mbinga na ndio kabila kubwa Ruvuma ila wangoni ni maarufu sababu ya ukorofi wao,Wanindi wako Namtumbo tafuta eneo linaitwa Magazini utawapata wengi scattered in other parts also.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom