Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,219
- 335
Wanyamwezi?????
maganga
kabula
kashindye
kalunde
ntimizi
nyamizi
ipuge
kikuli
mwasi
kafumu
rostam
kabeho
endeleza....
Wanyamwezi?????
Superman mambo vipi arifu.
Endeleza mshikamano wa kitaifa, mambo ya makabila hayana mashiko wakati huu wa kuoana toka makabila mbalimbali.
Mfano babu yangu mzaa baba ni mchaga, wakati mke wa babu ni mhaya. Baba anaitwa Rugaimukamu Kimario.
Mama yangu anaitwa Kabula Mabula. Hivyo Mimi naitwa Mabula Rugaimukamu Kimario.
Mke wangu anaitwa Atu Lusajo.
Mwanangu anaitwa Lusajo Mabula Rugaimukamu Kimario.
Mwanangu Sekela Lusajo kaolewa na M-australia Ed Smith.
Mjukuu wangu Atu Sekela Ed Smith. Sijui atakuwa wa ukoo au kabila gani.
Wasukuma,Wasukuma...
Mabula
Masanja
Magembe
Masunga
...........
endeleeeni ma Ngosha the Don King
Wamakonde je ?
Bachikeli
Chumuni
Chilingi
Mutoka
Nyumba
Chimu (Simu)
Mrembo zaidi, hapa kuna ukabila. Kama sivyo mleta mada angeweza kuomba majina ya koo na ingetosha. Kichwa cha habari kinasema 'majina ya koo katika makabila', haihitaji rocket science kugundua kuwa hapa kuna element za ukabila. Tumia jicho lako la tatu kama mawili hayaoni ukabila.
Samahani kama nimekukwaza bibie.
Au labda sio wakabila mkuu?
1. Mkwawa
2. Kihwele
3.Mng'ong'o
...
Wajaluo
Omolo
Otieno
Owino
Omondi
Ojwang'
Osodo
Odhiambo
Okinyi
Odipo
Ochuodho
Ondiek
Onyango
Otieno
Oludo
Okeyo
Wajita
Masatu
Manyama
Mafuru
Mafwere
Mafwimbo
Magafu
Majigo
Majubu
Utaona kwamba Wajaluo wengi majina yao yanaanzia herufi O wakati Wajita wanaanza na herufi M. Kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi mkoani Mara kipindi cha nyuma niliweza kufahamu chanzo (japo kidogo cha majina hayo). Ukiambiwa utacheeeeeeeekaa !!!!!!
Majina mengi, kama sio yote, ya koo za kisambaa yanaanza na She- na Sio Se- kama wengne wanavyojitangaza au wewe ulivyoandika hapo juu. She maana yake ni kama kusema (Decendant) Wa-.
Mfano
.Shemghanga na sio Semganga (mghanga ni msamiati wa kisambaa Mganga)
.Sheshui.
.Shemhando (sio Semhando)
.Shekanga
.Shemnghoma (sio sahihi kusema Shemngoma)
.Shekimwei (sio Shekimweli)
.Shemshashu
.Shenghawa.
Hakuna Shetani kama mpumbavu mmoja alivyo orodhesha hapo juu.
Wasambaa wengi ambao majina ya koo zao kwa asili kabisa yanaanza na She- wanaireplace hyo She- (kibantu) na Se- (ambayo sio kibantu). Ni upotoshaji, na ni ujinga.
maganga
kabula
kashindye
kalunde
ntimizi
nyamizi
ipuge
kikuli
mwasi
kafumu
rostam
kabeho
endeleza....
Jamani makabila yako mengi mbona mmesahau wanyiha na wengine kibao?
WANYIHA:
Nzowa
Mwampashi
Mwang'amba
Nankonde
Nk.
Wairaq (wambulu)
Bayo
Tluway (mvua)
Tseama(Jua)
Baha (Fisi)
Bura (Pombe)
hawa majina yao yanaendana kwa wanaume na wanawake nk.
WAMASAI
Ole Saitabau
Ole lotakajaki
Molel
Mepkori
Sokoinei
nk.
WAMANG'ATI
Kitaghlakla
Getakno
Gijeng
Bajuta
nk.
WAMERU
Sirikwa
Mbise
Ndossi
Sarakikya
Urassa
nk.
Kwa kweli kuna majina mengi sana ya koo mbalimbali
hebu endelezeni.
ee bwana weee!!! sikujua kama hili nalo limo. sina mbavu ..maganga
kabula
kashindye
kalunde
ntimizi
nyamizi
ipuge
kikuli
mwasi
kafumu
rostam
kabeho
endeleza....