Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Wapi kuna mafundi wazuri wanao jua nini wanafanya.
nilinunua gx 100 mwaka 2011, kuna mtu nilimuazima akapita nayo uchochoroni akaaribu antena ya mbele ambayo huwaka kwa kubonyezwa ndani.fundi kumpelekea akaing'oa.
mara ya pili sait mirrow ilikuwa inatoa mlio wa mota kama haitali kuzima fundi akaikata waya ikawa upande mmoja inafunga mmoja haifungi..
nilipokuja jua mafundi wa karume,kiukweli vitu vingi nakiri walinihatibia gari wale wa kule jirani na kwetu.
ningewashauri waende na wakati.kuna siku ililetwa nissani fundi anasema hajui anaanza wapi kufungua.anafikiria kufungua bila ya diagonosis ya kujua nini tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii gari ni nzuri saana.....tatizo ni mafuta yetu na uelewa mdogo wa mafundi wetu kwenye mambo ya umeme wa magari.
Gdi watu wanalionea sana.
Kama utazingatia kuweka mafuta kwenye petrol station zinazojielewa. Hili gari halitasumbua hata kidogo
 
Back
Top Bottom