Sijui, ngoja tumuulize mjuzi wa yote Gentamycin
Huna haja madam, Lumumba wote mnaelewaga mambo kinyumenyume.Mi nilijua mada inahusu ndege kama kware, njiwa, bata nk. I am very sorry for any inconvenience
Njoo inbox JaneHivi kwanini kunguru haliwi
Ila ndege za jeshi la JWTZ za hapo kambini zinarukaKwa Tz ngerengere special force 92kj and kizuka air Force Hakuna ndege inaruhusiwa kupita anga lile
Na mm nawaza km wwHiyo picha ya bermunda trianhle ilipigwa na satellite au maana si ndege haziruhusiwi kwenda