KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,200
- 56,826
Fafanua, Kilimanjaro bia au mlima?Mbona Kilimanjaro hatupo kwenye list
Fafanua, Kilimanjaro bia au mlima?Mbona Kilimanjaro hatupo kwenye list
Chakula safi na najisiHivi kwanini kunguru haliwi
Mbuni pia haliwi? Siyo kweliChakula safi na najisi
Kumbukumbu la torati 14
3 Usile kitu chochote kichukizacho. 4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi, 5kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima; 6na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla. 7Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu; 8na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
9Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula; 10na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
11
Mna ruhusa kula katika ndege wote walio safi. 12 Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu; 13na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake; 14 na kila kunguru kwa aina zake; 15na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake; 16na bundi, na mumbi, na bundi mkubwa; 17na mwari, na nderi, na mnandi; 18na membe, na koikoi, kwa aina zake; na hudihudi, na popo. 19Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale. 20Mna ruhusa kula katika ndege wote walio safi.
21 Msile nyamafu yoyote; waweza kumpa mgeni aliye ndani ya malango yako, ili apate kula; au kumliza mtu wa mataifa; kwa kuwa wewe u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mamaye.
MlimaFafanua Kilimanjaro bia au mlima..?
Acha uongo, ndege gani ulipanda inapita katikati ya kilele cha mlima Kilimanjaro? Zote tunapanda zinapita pembeni na tunachungulia vile vilele viwili vya Mawenzi na Kibo kwa pembeni.Ndege zinapita sana tu juu ya kilele na watalii wanafurahia sana...ingekuwa ni kweli sasa wale wanaopanda si wangekuwa hawarudi
Unamaanisha Light bearer, yule EvilSpirit halisi?. The Bermuda triangle:Hapo kuna myth kwamba Master anaishi
Haziruhusiwi na nani?1. Antarctica:
Antarctica inajulikana sana kwa hali yake ya baridi kali sana ambapo barafu na theluji hulifunika eneo hili kwa mwaka mzima....
Light bearer,Bwana wa Mainzi,Nyota ya Ahsubuhi,Advesary,Mkuu wa Giza,Unamaanisha Light bearer, yule EvilSpirit halisi?
Watu wa Serengeti mbona wanakula.Hivi kwanini kunguru haliwi