Yajue maeneo matano duniani ambapo ndege haziruhusiwi kuruka juu yake

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,795
2,000
Haziruhusiwi kuruka kwa futi zipi make kuna anga ambayo ni ya kimataifa huko juu
 

iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
3,195
2,000
Ibada ya Kuhiji maka siyo lazima ila ni ibada kwa mwenye uwezo wa kufika huko na asie kuwa na uwezo Kuna utaratibu tofaut na analipwa malipo sawa na anae hiji
Mungu ndiye anae jua zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom