Yajue maeneo matano duniani ambapo ndege haziruhusiwi kuruka juu yake

Jane Lowassa

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,310
2,000
Mi nilijua mada inahusu ndege kama kware, njiwa, bata nk. I am very sorry for any inconvenience
 
KEROZENE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
6,119
2,000
1. Antarctica:
Antarctica inajulikana sana kwa hali yake ya baridi kali sana ambapo barafu na theluji hulifunika eneo hili kwa mwaka mzima.
Eneo hili lina nguvu kubwa sana ya usumaku ambapo huweza kuathiri mifumo ya ndege na hivyo kuisababishia hatari ya kuanguka.

View attachment 1700526

2. The Bermuda Triangle:
Kwa miaka mingi eneo hili limekuwa likijulikana zaidi kwa matukio ya ndege na meli kupotea kimaajabu mara zipitapo eneo hili.
Wanacho fanya marubani ni kuhakikisha wanalikwepa eneo hili lenye vimbunga vya hatari na pepo za kutisha sana.

View attachment 1700544

3. Buckingham Palace:
Hii ni kasri na makazi ya Malkia na utawala wa Kifalme wa Uingereza. Ndege haziruhusiwi kuruka juu ya anga hili kwa sababu za kiusalama.

View attachment 1700535

4. Disney Theme parks:
Hili eneo lina upekee wa kipekee duniani; nyumbani kwa kina Mickey Mouse na vikaragosi vingine vingi ambavyo watu wote duniani hupenda kuviangalia kipindi Cha ukuaji wetu.

Eneo hili liko Florida na California na limekuwa kivutio kwa wageni wengi ambao wamekuwa wakilitembelea kwa kipindi chote cha mwaka mzima.

Ndege haziruhusiwi kupita juu ya anga hili kwa ajili ya usalama wa wageni wanaitembelea eneo hili.

View attachment 1700546

5. Mecca:
Ndege haziruhusiwi kuruka kwenye hili anga takatifu kwasababu ya ukuu na utakatifu wake. Kwenye nguzo za Uislam ni lazima japo mara moja maishani, Muislamu aje mahali hapa kufanya ibada ya hija.

View attachment 1700571
6. Chato: Hili ni eneo ambalo Ndege hazipaswi kupita juu yake kwakuwa chini kuna Mtu ( Bibi ) kalala Usingizi mzito tokea mwaka 2017 hadi leo hiu na hatakiwi kupata Kelele za Ndege.
 
Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
2,204
2,000
Hivi kwanini kunguru haliwi
images (13).jpeg
 
wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,515
2,000
The Ka'bah is the center of the earth. ... This is indeed confirmed by the science that planes and birds can not fly over the Ka'bah because of the magnetic attraction. And this is why, of course, in Saudi Arabia there is no airport in the city of Mecca.
It is not. Earth is round.

If people from all over theearth turn towards a point known as Kaaba, it becomes centre for all those who prostrate towards it. Physically, you cannot pinpoint a centre on earth or forKaaba.
 
Fedor von Bock

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,312
2,000
1. Antarctica:
Antarctica inajulikana sana kwa hali yake ya baridi kali sana ambapo barafu na theluji hulifunika eneo hili kwa mwaka mzima.
Eneo hili lina nguvu kubwa sana ya usumaku ambapo huweza kuathiri mifumo ya ndege na hivyo kuisababishia hatari ya kuanguka.

View attachment 1700526

2. The Bermuda Triangle:
Kwa miaka mingi eneo hili limekuwa likijulikana zaidi kwa matukio ya ndege na meli kupotea kimaajabu mara zipitapo eneo hili.
Wanacho fanya marubani ni kuhakikisha wanalikwepa eneo hili lenye vimbunga vya hatari na pepo za kutisha sana.

View attachment 1700544

3. Buckingham Palace:
Hii ni kasri na makazi ya Malkia na utawala wa Kifalme wa Uingereza. Ndege haziruhusiwi kuruka juu ya anga hili kwa sababu za kiusalama.

View attachment 1700535

4. Disney Theme parks:
Hili eneo lina upekee wa kipekee duniani; nyumbani kwa kina Mickey Mouse na vikaragosi vingine vingi ambavyo watu wote duniani hupenda kuviangalia kipindi Cha ukuaji wetu.

Eneo hili liko Florida na California na limekuwa kivutio kwa wageni wengi ambao wamekuwa wakilitembelea kwa kipindi chote cha mwaka mzima.

Ndege haziruhusiwi kupita juu ya anga hili kwa ajili ya usalama wa wageni wanaitembelea eneo hili.

View attachment 1700546

5. Mecca:
Ndege haziruhusiwi kuruka kwenye hili anga takatifu kwasababu ya ukuu na utakatifu wake. Kwenye nguzo za Uislam ni lazima japo mara moja maishani, Muislamu aje mahali hapa kufanya ibada ya hija.

View attachment 1700571

MASAHIHISHO; ANTARCTICA
1. Antarctica only commercial flight ndio zilikuwa haziruki but sight viewing flight zinaruka na kupita eneo hilo in a daily basis. na sasa hivi commercial flight zinaruka na kupita eneo hilo...
2. Ishu ya sumaku sio kweli ila nikuwa ndege zote za biashara zinafuata kitu kinaitwa ETOPS (Extended Operations) governs how far from an emergency diversion airport certain aircraft are allowed to fly. The restrictions placed on aircraft previously - at first 60 but now usually up to 180 minutes - meant that Antarctica was off-limits as it had no registered diversion airports, so planes would have to divert a considerable distance to safety. Ila kuanzia 2011, sheria zilibadirika making it possible for aircraft to fly pretty much anywhere in the world kulingana na mfumo wa sasa wa ndege. For example, an Airbus A350 has been awarded a higher ETOPS value than a Boeing 737, meaning it can fly further from land towards its destination, and therefore on a straighter, more efficient route.
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
3,993
2,000
Chakula safi na najisi
Kumbukumbu la torati 14

3 Usile kitu chochote kichukizacho. 4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi, 5kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima; 6na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla. 7Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu; 8na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.

9Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula; 10na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.

11
Mna ruhusa kula katika ndege wote walio safi. 12 Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu; 13na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake; 14 na kila kunguru kwa aina zake; 15na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake; 16na bundi, na mumbi, na bundi mkubwa; 17na mwari, na nderi, na mnandi; 18na membe, na koikoi, kwa aina zake; na hudihudi, na popo. 19Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni najisi kwenu; msiwale. 20Mna ruhusa kula katika ndege wote walio safi.

21 Msile nyamafu yoyote; waweza kumpa mgeni aliye ndani ya malango yako, ili apate kula; au kumliza mtu wa mataifa; kwa kuwa wewe u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mamaye.
Haya maagizo walipewa waisrael na miungu/mungu wao, wengine mmedandia tu treni kwa mbele, kwa maelekezo ya mabeberu
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
62,491
2,000
MASAHIHISHO; ANTARCTICA
1. Antarctica only commercial flight ndio zilikuwa haziruki but sight viewing flight zinaruka na kupita eneo hilo in a daily basis. na sasa hivi commercial flight zinaruka na kupita eneo hilo...
2. Ishu ya sumaku sio kweli ila nikuwa ndege zote za biashara zinafuata kitu kinaitwa ETOPS (Extended Operations) governs how far from an emergency diversion airport certain aircraft are allowed to fly. The restrictions placed on aircraft previously - at first 60 but now usually up to 180 minutes - meant that Antarctica was off-limits as it had no registered diversion airports, so planes would have to divert a considerable distance to safety. Ila kuanzia 2011, sheria zilibadirika making it possible for aircraft to fly pretty much anywhere in the world kulingana na mfumo wa sasa wa ndege. For example, an Airbus A350 has been awarded a higher ETOPS value than a Boeing 737, meaning it can fly further from land towards its destination, and therefore on a straighter, more efficient route.
I appreciate your contribution. Bonge la critical comment
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
6,005
2,000
. The Bermuda triangle:Hapo kuna myth kwamba Master anaishi

Unamaanisha Light bearer, yule EvilSpirit halisi?

Light bearer,Bwana wa Mainzi,Nyota ya Ahsubuhi,Advesary,Mkuu wa Giza,
Hundred of flights pass through Bermuda triangle daily , hzo ni story tuu, na hlo eneo halipo kwenye top ten dangerous Ocean Waters Ships or planes Should be Afraid ....
tukio la kupotea Kwa ndege tano za kivita za Marekani kwenye hlo eneo mwaka 1945 (US navy Avenger Torpedo-bombers squadron FLIGHT 19) ndo lilileta Zaid hzi story ....

Japo kuna visa vya hapa na pale lakini still mamia ya ndege yanapita kila sku na hawaoni chochote .....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom