Yajue madhara ya kukanda wazazi kwa maji ya moto

Acha tambara la mtandio mwepesiunakandwa nalo mwili mzima hapo tumboni analikusanya anakubandika,Mimi naliaaaa.... Mda wa kuoga ukifika tu naanza kulia.. Hukimbii unavumilia tu Dada maana ukubwa umekukuta..

Yanasaidia kiasi maji moto lakini kupunguza tumbo ukijifunga jitahidi kulifunga na kanga vzr dada
Aisee ahsante kwa kushare nasi dear, kweli ukubwa dawa, sitokua na budi kuvumilia tu yatapita. Ila ile furaha ya kumuona mwanangu nadhani hayo yote yanaweza kuvumilika tu. I can't wait to meet my own baby ile feeling yake for the first time aah😍😍. Mungu tujalie uzao mwema.
 
Even my friend ilimkuta yeye kakosa mtoto na kizazi katolewa pia!
Inasikitisha sana..Uzazi unauma sana
Leo nimepata taarifa pia kuna ndugu yangu binamu mkewe kajifungua kwa operation
Pia mkwewe shangazi yangu bibi miaka mia na zaidi kafarik pneumonia

But this is the most horrible news na kizazi wakato. Mungu amfanyie wepesi, so sad. .
 
Muulize mzazi wako wa kike baada ya kujifungua wewe kama alikandwa maji au la.

Mengine hayahitaji maneno makali kwa wazazi wako. Tumia busara na majibu yasiyoumiza hisia za watu.
Mzazi wangu kukandwa kwa maji haihalalishi wala haifanyi kuwa kukandwa kwa maji ni jambo sahihi na lisilokuwa na madhara.
 
Aisee ahsante kwa kushare nasi dear, kweli ukubwa dawa, sitokua na budi kuvumilia tu yatapita. Ila ile furaha ya kumuona mwanangu nadhani hayo yote yanaweza kuvumilika tu. I can't wait to meet my own baby ile feeling yake for the first time aah. Mungu tujalie uzao mwema.
Yanaisha siku chache tu...haswa ukijifungua salama kama Mimi yaani nasema Mungu ahsante sana kwa baraka zake...
Halafu uzazi usiwe mbishi sikiliza wakubea mimi mwanangu wa kwanza nilikua mkoani naanza kazi baasi wale wamama walinilea km mtoto wao then nilikua nasikiliza sana wanayonambia,yaani I was very submissive kwao!kuna zile Mara usishike tamaasio vzr,mazoezi ya kutanua ukeMr alikua mkoa mwingine,usinywe maji umesimama,Mara usikae katikati ya mlango..yaani ni viiingi mnoo tunaambiwa na Mimi nilifata yaani nilikua mjinga!baasi ikatoka siku moja mwanangu hakucheza tumboni nikapagawa nikamfata mpangaji mwenzangu anaita mama Rahma,nkamuambia"mama Rahma mwanangu hachezi Leo"huku akili haiko sawa, akanambia "simama"," ruka ruka"dkk nyingi akaanza kupitwa tumboni!akanambia "alikua kalala huyoo!asingepitwa au angekua anaenda mzima mzima lingekua tatizo"so ukiwa mjamzito bwana haswa ukikaa na wahenga mambo yanakua mengi sana muhimu usibishane nao na kama hutaki itikia then kaa kimya!
Ila watoto wana raha yake
 
Leo nimepata taarifa pia kuna ndugu yangu binamu mkewe kajifungua kwa operation
Pia mkwewe shangazi yangu bibi miaka mia na zaidi kafarik pneumonia

But this is the most horrible news na kizazi wakato. Mungu amfanyie wepesi, so sad. .
Poleni sana kaka!Mungu awape nguvu
 
Mzazi wangu kukandwa kwa maji haihalalishi wala haifanyi kuwa kukandwa kwa maji ni jambo sahihi na lisilokuwa na madhara.
Kama kuna madhara au hakuna sio busara kuwaambia watu ni utahira . Wakati ndio njia za asili zilizotumika tangu enzi hizo na wazazi wetu waliishi bila kansa ya shingo ya kizazi wala nini.

Ila hizo njia zenu kizazi cha white man wamama wanateseka sana. Hivyo amini njia za kisasa wewe ila ukitaka wengine watumie usiwadhihaki waelewesha tu kwa lugha ya kiungwana utaeleweka.
 
Yanaisha siku chache tu...haswa ukijifungua salama kama Mimi yaani nasema Mungu ahsante sana kwa baraka zake...
Halafu uzazi usiwe mbishi sikiliza wakubea mimi mwanangu wa kwanza nilikua mkoani naanza kazi baasi wale wamama walinilea km mtoto wao then nilikua nasikiliza sana wanayonambia,yaani I was very submissive kwao!kuna zile Mara usishike tamaasio vzr,mazoezi ya kutanua ukeMr alikua mkoa mwingine,usinywe maji umesimama,Mara usikae katikati ya mlango..yaani ni viiingi mnoo tunaambiwa na Mimi nilifata yaani nilikua mjinga!baasi ikatoka siku moja mwanangu hakucheza tumboni nikapagawa nikamfata mpangaji mwenzangu anaita mama Rahma,nkamuambia"mama Rahma mwanangu hachezi Leo"huku akili haiko sawa, akanambia "simama"," ruka ruka"dkk nyingi akaanza kupitwa tumboni!akanambia "alikua kalala huyoo!asingepitwa au angekua anaenda mzima mzima lingekua tatizo"so ukiwa mjamzito bwana haswa ukikaa na wahenga mambo yanakua mengi sana muhimu usibishane nao na kama hutaki itikia then kaa kimya!
Ila watoto wana raha yake
Wow ntawasikiliza wahenga pia, wanayajua mengi kuliko, thank you dear😍 hivi sahivi ukimuona mwanao how do you feel? Mtoto wa tumbo lako mwenyewe aisee raha.😍
 
Kama kuna madhara au hakuna sio busara kuwaambia watu ni utahira . Wakati ndio njia za asili zilizotumika tangu enzi hizo na wazazi wetu waliishi bila kansa ya shingo ya kizazi wala nini.
Njia hizo za asili kutumika tokea enzi hizo haihalalishi wala haithibitishi kuwa ni njia sahihi na bora.Hata ukeketaji pia upo tokea enzi hizo.

Pia huna mamlaka wala haki ya kuzungumzia kutokuwepo kansa ya shingo ya uzazi kwa enzi hizo kwa sababu huna data za enzi hizo.
Ila hizo njia zenu kizazi cha white man wamama wanateseka sana. Hivyo amini njia za kisasa wewe ila ukitaka wengine watumie usiwadhihaki waelewesha tu kwa lugha ya kiungwana utaeleweka.
Kijani haiwezi kuwa nyekundu na nyekundu haiwezi kuwa kijani.Kijani ni kijani tu na nyekundu ni nyekundu tu.Huwezi kubadili kijani kuwa nyekundu.Kama mtu anafanya mambo ya utahira huyo ni tahira tu hatuwezi kubadili utahira kuwa ustaarabu kwa kutumia mgongo wa lugha ya kiungwana.
 
Huku Dar siku 40 mwanamke anaenda kwa bwana. Ndo mana waswahili wanazaa kama kuku

Kilimanjaro mwanamke anakaa ndani miezi mitatu marufuku kwenda kwa bwana, Huku anahudumiwa kila kitu. Sema waswahili wanadai mwanamke akikaa ndani anatoka kama puto.

Mie nimeoa mswahili, mwanangu kazaliwa 29 september mwaka huu. Yani week moja tu anaona yuko kifungoni hahahah
Huku mjini wanatushangaa wachaga hatutoki nje hata vikoba tu hatuendi. Wanatuita utumbo.
 
Back
Top Bottom