Yai lenye viini viwili

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Hii imekaa sawa? Nimekutana na hii kitu wakati niko safarini Dar nikijiandalia mlo wa jioni. Yai lenyewe la kisasa na lina viini viwili. Hii imekaaje?
 
Mbona kawaida hio. Mie niliwahi kufuga kuku wa mayai. Kuna siku nilkuwa naokota mayai makubwaaa na ndani lazima yawe na viini viwili
 
Back
Top Bottom