yahusu kusambaza kuku kwenye mahotel na migahawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yahusu kusambaza kuku kwenye mahotel na migahawa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mapujds, Nov 23, 2011.

 1. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndugu wanajamii,habarini.
  Naomba mtu yoyote ambaye anaweza kunipatia tenda ya kusambazakuku wa kienyeji kwenye hotel au mgahawa anijulishe.nimemaliza chuo mwaka wa pili sasa sina kazi ya kuaminika na maisha yanaendelea kuwa magumu wana jamii wenzangu.naomba msaada sana napatikana DAR'SALAAM.aliyetayari kunisaidia au hata kunipa means ya kufanikisha hili naomba tuwasiliane kupitia namba hizi 0655222214 na 0788532827.asante
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu hongera kwanza kwa kujiajili mwenyewe, kwa kweli ndo kinahotakiwa kwa sasa, tatizo huko vyuoni watu wanapeana matumaini yaliyo pitiliza kiwango wazungu wanasema over expetation.

  1. Mimi ningekushauri uzunguke mwenyewe kwenye mahoteli, mabaa mbalimbali na hata min supermarket tafita wayeja huko, ukipata hata wawili wakuaminika wanatosha kabisa.

  2. Na hakikisha kama utawapata mnasaini contarct kabisa ya kuwalinda wao na ya kukulinda wewe make makubaliano ya mdomoni yana madhara sana kuna day unaweza mpelekea akasema hahitaji, na wewe vilevile unahakikisha unawasambazia kwa wakati.

  Fanya hivyo
   
Loading...