Chief Ramso yupo Bongo kwa sasa, alikuwa anaishi Canada kwa miaka kama 10 hivi, amerudi ana mke wa kizungu, ndio aliyekuwa akiendesha show za WAPI pale british council, sema sasa hivi anafahamika zaidi kwa jina la ZAVARA...alikuja na ujio wa hip hop battle freestyle ndipo walipotokea akina Nikki mbishi, Godzilla na wengineo pale tcc chang'ombe.
Robert Mwingira a.k.a D-ROB alifariki dunia mwanzoni mwa miaka ya 2000, ndo msanii ambaye GK alimuimbia wimbo wa tunakukumbuka daima milele feat TID.
Y THANG kwa sasa ni doctor na baada y akumaliza masomo yake uk, anerudi bongo na sasa ni daktari katika hospitali ya Muhimbili.
ADILI a.k.a NIGGER ONE pia alifariki dunia miaka ya 90 ndiye aliyekuwa kiongozi wa KWANZA UNIT wakati wa uhai wake.
KIBACHA a.k.a K SINGLE mara ya mwisho alikuwa anaishi South Africa ila kwa sasa sina uhakika, ila katika album ya FID Q -PROPAGANDA amefanya interlide kwa truck moja..
Hao ndo KWANZA UNIT A.K.A KWANZANIAN (D-ROB, K-SINGLE, CHIEF RAMSO, NIGGER ONE & Y THANG)

kwani katika kwanza unit, dr. Mligiriche hakuwepo
y thang = dr yusuph lameck mligiliche
Big Up mkuu,
But umemsahau Bagzy Mallone alie-rap katika wimbo wa "UTAONA".
Hii nyimbo ilikua na style ya kipekee yake kwa verse kuenda kwa kiengreza na kiitikio kiswahili.
Huyu jamaa alikua ni memba wa KU ingawa hakuishi sana Bongo kipindi cha uhai wa hili kundi.
Kiitikio cha UTAONA;
Kama hujui Unapotoka,
Hujui Unapokwenda,
Fikiri Kabla ya Kutenda,
Fanya Unavyopenda,
Iliandikwa Haikusemwa Fanya Mapema sasa Nasema,
Vitabu vishachomwa na Sintorudia tena,
Na kama wajua we Utaona!!

Picha unayo.Unataka majina tu? Namjua Mc Ramso na yule mshkaji alikuwaga anarap fasta [hapo kakaa katikati ya wenzake] aliingia kwenye drugs akalosti.Ila yuko fresh kwa sasa.Akili yake ndiyo haiminiki tena.