Yahusu kujitambulisha. Nimefurahi sana kujiunga humu

Obama-

New Member
Jun 30, 2022
2
1
Rejea kichwa hapo juu

Mm ndugu yenu kwa furaha kubwa nimefura Sana kujiunga kweny platform hii kubwa Africa mashariki na dunian kote inayotukutanisha pamoja kujadiri masuala mbarimbari ya kijamii, kiuchumi, kisiasa, na mambo yote yanayotuzunguka nakutufanya tuishi.

Ni matumain yang kua ntajifunza Mamb mengi mazuri na mabaya kupitia jukwaa hili yatakayo nijenga na kunifundisha na kunipotosha pia pale itakapo bidi.

Naomba nichukue nafasi hii kuwaomba mtambue uwepo Wang, mnipokee na kunielekeza yale nisiyo yajua na mnionye pale ntakapo kosea Asanteni sana
 
Back
Top Bottom