yaHAya ya lady j dee

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
Chorus:
Yahayaunaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya
eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh
Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya
eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

VERSE 1:
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku
tupo nae maskani
Anakula ofa za watu, Anapoishi hata
hapajulikani
Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae
Anavyozuga, anavyopita
Si umdhaniae
Na hafananii kabisa, na fix
anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe
hana helaaaa
Longo longo nyingi

Rudia Chorus:

VERSE 2
Kwa story za vilingeni, Utafikiri
kweli yeye ndio boss
Suruali zake na mashati, Anasema
anafanya kazi bank
Mara anasema usalama wa Taifa,
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya,
usomdhaniae
Na hafanii kabisa, na fix anazofanya
Akidanganya kwa kina
Unaingia kingi unafuata, kumbe
hana helaaaa
Ooooh Yahaya
Rudia Chorus:
Mara anasema usalama wa Taifa
Hakuna ajuae
Kalubandika wa kizazi kipya
Uso mdhaniae
Na hafanii kabisa na fix anazo fanya
Akidanganya kwa kina, unaingia
kingi unafuata
Kumbe hana helaa
Chorus:
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya
eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh
Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya
eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

MWISHO:

Mtunzi/ Mwandishi: Judith Wambura
( Lady JayDee)
Producer: Man Water
Studio: Combination sound

www.hulkshare.com/xoxjawcnymm8#/search.php?q=yahaya-lady+jay+dee
 
Mimi na umbali wote leo ndo nimeusikia wimbo huu,vipi ulitoka mwaka gani huu wimbo
 
teh hehe! Kuna akina KALUBANDIKA WENGI humu Jf waisha anza kuuhusisha na Dini.
 
Salam kwa wenye majina ya yahaya popote ,mlipo na mnatabia kama hizo!!!
 
Back
Top Bottom