Duh,aiseeh kweli huyu jamaa KARUBANDIKA,anakoishi hajulikani,kazi yake kupiga mizinga tuu,ukimuona jinsi anavyovaa huwez mdhania,jamaa ana fix nyingi,anajifanya anafanya kazi usalama wa taifa,kumbe karubandika wa mujini,yahaya mbaya,yaani nimechoka pale nilipokuja kujua kumbe hata hilo jina la YAHAYA siyo jina lake halis,hivi jina lake halisi unadhani ni nani???