Bora umeona !
Mpe mpe vidonge vyake huyo.
Yani asione chaka,anataka kuingia.
Atuache.
Kuibiana wapenzi ndo Khabari ya Mjini kwa kipindi hiki.
Kakutuma na wewe eh!
Hata aje na vifaru,hapa hapawezi.
hahahahhaha! mamdogo yuko juu kama dege la obama lol!sasa huyu Loya namuamini rudi tu kwake manake chimbuvu zaid ya kukupeleka kunywa matap tap hana lolote lol!
akae pembeni, afu alikuwa anakuwekea kiwingu ujue!!! yani alikufanya uonekane kikongwe wakati mamito bado binti mbichiiiii...........
hahahahahahhh mamito hakuna kurudisha majeshi nyuma, anatuma waje wambembelezee, yani sijui kawalipa bei gani?? au kawahonga huruma zake bure, asepeeeeeeee
Namshangaa sana huyo shemeji yenu wa zamani.
Ciello,shem wako mpya anajua kuhandle mpaka nahs dunia yote yangu.
Sio yule Ruttashobolwa,
Mwanaume ajue kutetea tetea wake,
asa mpaka ahonge.
Anipishe.
akupisheeeeeeeeeeeee, miye shem Chimbuvu namkubali na nawasapoti asilimia 100%, wawawacheeeeeeeeeeeeee miaka 800
Nijuavyo mm kipya kinyemi babu ila awali ni awali tu hakunaga awali mbovu.
Hawezi kushindana na sheria!
hahahahahahahah loya kaja na sheria zake, mke humfurahishi wala kumhandle kwa kutumia sheria, imekula kwako, kuwa mpole tu........we rudi kijijini kashozi kachukue kaisiki umlete tauni uishi naye na hizo sheria zako..............
Hawezi kushindana na sheria!
Hawezi kushindana na sheria!
Ruttashobolwa,
utanipa talaka yangu au hunipi?
Madame B tumia busara, rudi kwa mumeo Ruttashobolwa! Kumbuka bila Ruttashobolwa kukupendezesha Chimbuvu angekuona wapi mpenzi? Na ingekuwa wanawake wana maamuzi na tamaa kama wewe unadhani wangapi wangebaki ndoani? Unawafundisha nini wadogozo?