YAH: mwenye pingamizi la ndoa kati ya mr mkiva/preety

Huyu dogo hana amani kabisa nikiwa around, hana cha zaidi kinachomsumbua zaidi ya uroho wa madaraka, ameshawahi organize njama za mapinduzi dhidi yangu zaidi ya mara sita amefeli, Ila hapo umenipa wazo, akiendelea nambebea mkewe... ili kama mbwai iwe mbwai kweli.

unibebe nimekuwa zigo? We kiboko yako ni mwanamapinduzi Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Shem lake!
Nway punguza mifaraguo na kujinakshinakshi sana .
Huyu jamaa Bibi yake kizaa Baba ni "Mtaalamu-mwanakamati , gagula sugu" habari za mandingo! Usijejikuta Mbwa kwa Chatu !

aaaahhh wapi! Mie wala siogopi maana nimechanjiwa damu ya simba wa Yuda.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom