Huyu dogo hana amani kabisa nikiwa around, hana cha zaidi kinachomsumbua zaidi ya uroho wa madaraka, ameshawahi organize njama za mapinduzi dhidi yangu zaidi ya mara sita amefeli, Ila hapo umenipa wazo, akiendelea nambebea mkewe... ili kama mbwai iwe mbwai kweli.
cc: Arushaone and Lady doctor
hana ubavu huo
Shem lake!
Nway punguza mifaraguo na kujinakshinakshi sana .
Huyu jamaa Bibi yake kizaa Baba ni "Mtaalamu-mwanakamati , gagula sugu" habari za mandingo! Usijejikuta Mbwa kwa Chatu !
Kumbe eeh...haya kazi kwako sasa
sasa usiwe unashinda ndani tu........siku moja moja unakaribia gheto kwa kijana mwenzio.....