YAH: mwenye pingamizi la ndoa kati ya mr mkiva/preety

Ila mkiva wewe kigeugeu kule piieem si ulinihaidi ndoa??sasa umenikimbia kisa Preety?haya kabla haujafunga hiyo ndoa tafuta wa kuziba pengo uliloliacha wazi tafadhali..

mkiva nipatie hii fursa tafadhali nizipe jili pengo uliloliacha wazi
 
Last edited by a moderator:
Baba V !
Hebu fungisha hii ndoa !
Mimi Judgement ni mmoja wa wadhamini wa Mhe. mkiva .
So napendekeza ndoa hii iandikishwe , kwani sioni sababu za kimsingi zinazoondoa vigezo vya kikanuni isifungwe .

Nakubaliana na wewe kabisaaaa..
Wafungishwe ndoa tupunguze uzinzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom