YAH: mwenye pingamizi la ndoa kati ya mr mkiva/preety

Mkuu Arushaone kwani Baba V alimtokea bibi yako Lady Doctor nini? maana naona unampumulia hapa kwa hapa

Huyu dogo hana amani kabisa nikiwa around, hana cha zaidi kinachomsumbua zaidi ya uroho wa madaraka, ameshawahi organize njama za mapinduzi dhidi yangu zaidi ya mara sita amefeli, Ila hapo umenipa wazo, akiendelea nambebea mkewe... ili kama mbwai iwe mbwai kweli.
 
cc
Arushaone
Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
My dear amu, we unauweza ukewenza!

Swali unalomuuliza mwenzio ndiyo namie nataka nikuulize hilohilo! Kwani kufuatia majukumu yako ya ubussy kazini kwako , na safari zako za kikazi kuongezeka . Nimefikiria nikushauri waonaje utafutiwe msaidizi?
Au utamudu % 100 kotekote mimi na ofisi ?
 
Last edited by a moderator:
Huyu dogo hana amani kabisa nikiwa around, hana cha zaidi kinachomsumbua zaidi ya uroho wa madaraka, ameshawahi organize njama za mapinduzi dhidi yangu zaidi ya mara sita amefeli, Ila hapo umenipa wazo, akiendelea nambebea mkewe... ili kama mbwai iwe mbwai kweli.
cc: Arushaone and Lady doctor
 
Jamani ee...hii ndoa ninapingamizi nayo ila kuna mtu anantishia nisiseme sababu za kupinga. Ngoja niikubali tu kishingo upande nisije nikarestiwa in peac mapema hii.
 
Mbona umechelewa?
Ndoa ishabarikiwa!
Maharusi saahizi wanatekenyana tu maeneo yatekenyekao.
 
Swali unalomuuliza mwenzio ndiyo namie nataka nikuulize hilohilo! Kwani kufuatia majukumu yako ya ubussy kazini kwako , na safari zako za kikazi kuongezeka . Nimefikiria nikushauri waonaje utafutiwe msaidizi?
Au utamudu % 100 kotekote mimi na ofisi ?

Umemtamani nani kwani humu ndani? Au unamuonea wivu mswati Arushaone?
 
Last edited by a moderator:
Umemtamani nani kwani humu ndani? Au unamuonea wivu mswati Arushaone?

Issue siyo kutamani !
Issue ni kukulinda wewe staki uje uzeeke kabla ya wakati kwa majukumu .
Afu ishu nyingine si ni Sunnah ?
Au huipendi Sunnah hii ?
Yote kwa yote that's your protection .
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Issue siyo kutamani !
Issue ni kukulinda wewe staki uje uzeeke kabla ya wakati kwa majukumu .
Afu ishu nyingine si ni Sunnah ?
Au huipendi Sunnah hii ?
Yote kwa yote that's your protection .

kwa hiyo huyo ajae yeye hatakuwa na majukumu mengine, kazi yake ni moja tu???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom