YAH: mwenye pingamizi la ndoa kati ya mr mkiva/preety

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,091
618
Ndugu wana cc poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.kichwa cha habari kimejitosheleza.lakini naomba kutoa muhtasar kuhusiana na ndoa kati yangu mimi mkiva na mchumba wangu preety.mimi na preety tumefikia maamuzi tunayoona ni stahki ya kuish kama mke na mume.na wote kati yetu hakuna ambaye ameshawah kutumikia ndoa humu ndani wala kupewa talaka.hivyo basi kwa mujibu wa sheria za jf na cc tunahsi tunavyo vigezo vyote vya kuifanya ndoa yetu kua halali.hivyo basi kufuatia sheria za utawala huu tunaomba kupata baraka za wadau wote wa jf hufanikisha zoezi hili.ila kwa yule mwenye pingamizi ni haki yake na hii ndio frusa yake.natangulisha shukran zetu.naomba kuwasilisha.

Cc baba v

cc ruttashobollwa

cc valentine
 
Bila Erickb52 kutia sahihi ndoa haitofungwa kwani yeye ndiye mwenyekiti wa mahusiano humu. Baba V alishastaafishwa kwa manufaa ya umma.
 
Last edited by a moderator:
Ila mkiva wewe kigeugeu kule piieem si ulinihaidi ndoa??sasa umenikimbia kisa Preety?haya kabla haujafunga hiyo ndoa tafuta wa kuziba pengo uliloliacha wazi tafadhali..
 
Last edited by a moderator:
kwako mkiva mimi cna pingimizi nimeifurahi mumeikimbia zinaa.Afu hata ukiwa una mke si mbaya ongeza mke wa pili wanaume nyie mpo wachache.Ukewenza mzuri ukiona mwanaume wa peke yako stuka ujue huyo unmarketable.
 
Plz plz plz mkiva siruhusu mke wa pili mie
 
Last edited by a moderator:
Baba V !
Hebu fungisha hii ndoa !
Mimi Judgement ni mmoja wa wadhamini wa Mhe. mkiva .
So napendekeza ndoa hii iandikishwe , kwani sioni sababu za kimsingi zinazoondoa vigezo vya kikanuni isifungwe .
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana cc poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.kichwa cha habari kimejitosheleza.lakini naomba kutoa muhtasar kuhusiana na ndoa kati yangu mimi mkiva na mchumba wangu preety.mimi na preety tumefikia maamuzi tunayoona ni stahki ya kuish kama mke na mume.na wote kati yetu hakuna ambaye ameshawah kutumikia ndoa humu ndani wala kupewa talaka.hivyo basi kwa mujibu wa sheria za jf na cc tunahsi tunavyo vigezo vyote vya kuifanya ndoa yetu kua halali.hivyo basi kufuatia sheria za utawala huu tunaomba kupata baraka za wadau wote wa jf hufanikisha zoezi hili.ila kwa yule mwenye pingamizi ni haki yake na hii ndio frusa yake.natangulisha shukran zetu.naomba kuwasilisha.

Cc baba v

cc ruttashobollwa

cc valentine

Enendeni mkabanjuane na mkaijaze dunia, Kwa TAMKO hili mwenyekiti wenu nimeridhia ndoa yenu na imebarikiwa kwa mamlaka niliyonayo. Kila la heri katika kufunga mwaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom