YAH: Kujua nauli ya kutoka Zimbabwe hadi Cape Town

Msekule

Member
May 14, 2019
86
75
Ndugu wanajanvi, kama kichwa cha habari hapo juu chajieleza.

Kwa wale wanaojua nauli ya kutoka Zimbabwe hadi capetown nauli ni bei gani? na ninaweza kupata bus ya moja kwa moja kutoka Zimbabwe hadi capetown?
Kwa wale wazoefu naombeni msaada wenu, soon nitaanza safar kuelekea SA.

NAWAKILISHA
 
Mwaka jana na juzi nauli kutoka Harare hadi Johburg ilikuwa 700 rand, pia kutoka Johburg hadi Capetown ni 900 rand. Jumla andaa kama rand 2000 hivi...
 
Wadau nauliza nikitoka bongo hadi Zimbabwe ninaweza kupata bus ya moja kwa moja hadi capetown? na kama ipo bei ni kiasi gan.

Ninategemea kuanza safari yangu wiki ijayo.

Nawasilisha.
 
ipo ya kutoka lilongwe hadi j'berg kwa 30000 malawi kwacha kama tsh 90000 iv na unafika kesho yake
 
Ninatokea dar, nilikuwa nauliza nikifika Zimbabwe ninaweza kupata bus ya moja kwa moja kutoka Zimbabwe hadi capetown?
 
Nyingi sana wewe tu ni mwendo wa kuchagua tu kitu cha basi au tracker land 300 mpaka 500 kulingana na aina ya usafir
 
Ninatokea dar, nilikuwa nauliza nikifika Zimbabwe ninaweza kupata bus ya moja kwa moja kutoka Zimbabwe hadi capetown?
Nyingi sana wewe tu ni mwendo wa kuchagua tu kitu cha basi au tracker land 300 mpaka 500 kulingana na aina ya usafiri uutakao
 
Back
Top Bottom