yah:jukwaa la gadgets,technolngy and science

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
Dah kiukweli zamani ilikuwa nikitaka nkujua mambo ya technolojia kwa undani wake naingiahumu napata vi2 vipya na napata kuelewa kwa undani kwa kifupinilikuwa cboreki nw yaani dah misaad imezidi huyu laptop imeharibika huyu cmu huyu camera imefanya hv yaani 2napitwa hata na jukwaa la mavuvuzela
 
yah ni kweli mkuu nafkiri umefika wakati jukwaa hili nalo lijitegemee liwe na subforum kama vile

-technical queries (hapa ni maswali unauliza wengine wanajibu)

-tech store (kama jf store) sema iwe ndani humu watu waweze share designing zao wenyewe kama anavotaka c6 kushare photoshop psd zake

nakadhalika nakadhalika
 
heheheee... Hlo mm lmenikuta sanaaa naingiaga huku tuuuu... Nikiiingia jukwa lngne huwa inakua nmekua tagged au nmesearch google na result ikanijia kutoka humu au kuna kitu urgently sana nataka nisome au n post... Ila humu ni kama kula after every specific time ntaingia... Asubuh ndo masaa yananiishai hmu mpaka saa 3
 
yah ni kweli mkuu nafkiri umefika wakati jukwaa hili nalo lijitegemee liwe na subforum kama vile

-technical queries (hapa ni maswali unauliza wengine wanajibu)

-tech store (kama jf store) sema iwe ndani humu watu waweze share designing zao wenyewe kama anavotaka c6 kushare photoshop psd zake

nakadhalika nakadhalika

Namimi nakubaliana na unachokizungumza mkuu... nanimelike comment yako japo virtually
 
yah ni kweli mkuu nafkiri umefika wakati jukwaa hili nalo lijitegemee liwe na subforum kama vile

-technical queries (hapa ni maswali unauliza wengine wanajibu)

-tech store (kama jf store) sema iwe ndani humu watu waweze share designing zao wenyewe kama anavotaka c6 kushare photoshop psd zake

nakadhalika nakadhalika
Dah kweli mkuu mi nahs hii tuiwasilisie kwa adminstrator maana m2 unaingia kupata vi2 vya kiteknolojia unakutana na misaada tu mpk unaamua unende jukwaa lingne
 
Namaanisha hili jukwaa sasa hvi haliko kama lilivyo zamani smwhw linaboaa to be honest kama ni member mzur utaelewa ninachosema

Nimekuelewa, sikuhizi unaweza ukauliza mtu akupe maujanja fulani ila ukaambulia kashfa na majungu kibao.
 
yap ni kweli itabidi yale maujanja yaanze kurudi..

Tru mkuu tuanze kuzirudisha ila misaada inabidi ipungue kunaweza kukawa na thread nzuri za kuelimishana m2 hauzioni sababu ya misaada,naungana na chif mkwawa ktk wazo alolitoa
 
Pia na lugha za kifesibuku nazo zimekwishaanza kusambaa humu na kiingerezakiswahili pia yaani jf ilivyonishawishi toka mwaka jana nikajiunga nayo sii ilivyo sasa.
 
Pia na lugha za kifesibuku nazo zimekwishaanza kusambaa humu na kiingerezakiswahili pia yaani jf ilivyonishawishi toka mwaka jana nikajiunga nayo sii ilivyo sasa.
eti lugha za fb,ila hawa maspy toka mitandao ya cmu wame2haribia sana mambo ye2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom